For JamiiForums Mobile users

For JamiiForums Mobile users

Kupiga mstari unaweka [ U ] Mwanzoni na [ / U ] mwishoni.

Kufanya chochote kwenye quote, ukishaeka kama unataka mjibu kuna alama ya kalamu ndani ya kiboksi pembeni ya quote. Kiguse alafu quote itajitokeza kama wewe ndo umeandika... Fanya unachotaka fanya alafu tuma.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji109] [emoji109][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Ku-bold au kuweka rangi na kupigia mstari (kwa pamoja) unafanyaje?
 
Back
Top Bottom