Amedeus Somi
Member
- Aug 27, 2016
- 65
- 22
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupiga mstari unaweka [ U ] Mwanzoni na [ / U ] mwishoni.
Kufanya chochote kwenye quote, ukishaeka kama unataka mjibu kuna alama ya kalamu ndani ya kiboksi pembeni ya quote. Kiguse alafu quote itajitokeza kama wewe ndo umeandika... Fanya unachotaka fanya alafu tuma.
Hebu na mimi nijaribu huenda naeza okota helaHata mimi nilikuwa sijui ila leo ndio nimejua, kwa hiyo jaribu tu utaweza.
Daààh we jamaa unajua sanaAhaa[/red]
Kweli nimeamini ushajua vizuri asee ila na kuandika mcharazoo inakuajeNITAJUA TUU ASEE
Kapuku[/color]Kapuku[/color]