For JamiiForums Mobile users

For JamiiForums Mobile users

hii ni kwa wale wanaotumia mobile za uwezo wa kawaida. Najua kwa watumia PC,BB na simu zenye uwezo mkubwa munapata. So simbaya kama simple mobile users tukapeana tricks... @unkown animal @nubert
:focus:
 

ok asante. basi naomba unisaidie kujua jinsi ya kuweka madude kwenye bonyeza HAPA. Hiyo Hapa unakuta ina habari gazeti zima. na hapo kwenye email sikuelewa vizuri. mia.
 
Kuna watu wanajifanya wanajua kila kitu........kumbe hata mananasi hawajui kuyalima!!
pumbafu kabisa...wache vijana wafanye mambo yao bana....eti oooh BB..:yawn:
 
Back
Top Bottom