For my few fellow men: Kujua kuendesha gari/pikipiki ni muhimu

Proffesor anasema... gari si lazima kujua kuendesha... Tutaajiri madereva wa kuendesha gari
 
Sahivi natafuta pesa, hayo ya baiskel hayanisaidii chochote kwenye income yangu

Maisha ni zaidi ya pesa Bulldog. Kuna vitu vingine ni vidogo sana na havionekani kama havina faida lakini ukivikosa unaona kama umepungukiwa hivi. Yan kama ndo ungekuwa unanifukuzia hicho kingekuwa kigezo kimojawapo cha kukudiskolifai seriously
 
Last edited by a moderator:
Maisha ni zaidi ya pesa Bulldog. Kuna vitu vingine ni vidogo sana na havionekani kama havina faida lakini ukivikosa unaona kama umepungukiwa hivi. Yan kama ndo ungekuwa unanifukuzia hicho kingekuwa kigezo kimojawapo cha kukudiskolifai seriously

Siwezi kuhangaika na mwanamke alie bize na vitu visivyo na maana. Okay, nikijua kuendesha, itaongeza nini kwenye maisha na mapenzi??

Will it bring something to the table?? Or help you secure good deals?? Or having a proper way to raise the family?? Or add something to the bed?? Will you see God when riding a bicycle?? Maisha ni zaidi ya hiyo baiskeli.

Na pia kuna vitu nimefanya wengi wenu hamjafanya.
 
Ni mtazamo tu...na hyo kwenye mapenzi nimetoa kama mfano tu.... Btw kila mtu ana prioritie zake. To me mwanaume kutojua kuendesha baiskeli sounds a bit strange
 
For me what I knw is one step at a time na kila jambo na wakati wake, upo wakati wa kujifunza pikipiki,upowa wa kujifunza bajaji, upo wa kujifunza gari na pia utakuja na wa kujifunza hata tren na ndege so to me sijaona kama nimecheleewa hata kidogo
 
Gari,nyumba,kupanda ndege,kuoa /kuolewa co ndoto hzi n vtu vpo na ni uamuz wako kumiliki.so n vyema kujua hata kuendesha hako ka boda boda basi if huna gar ila tucvweke vtu hv kama ndoto coz n haki yako kuwa navyo c ndoto wewe tu ujitume utavpata mbona
 
Back
Top Bottom