For petrol heads wote

aaaaaaah lile dubwasha la weistec enginearing bora lisije likija ushindi utaenda kwa wakenya 😂😂😂😂
 
Amna... Naskia ilikuwa bdo kidogo ikatwe na GC8 ILE sidechick ya Ney

Sent using Jamii Forums mobile app
sema ile sidechick ya neema ni kisanga.. ye mwenyewe anaikubali hadi kaipotezea Pink [emoji23][emoji23][emoji23]

sema pink nayo kama anaiongezea mods maana sasa hivi kaifunga FMIC


alafu embu nisaidie uhusiano kati ya GTP na JASON..... maping yao wanatumia moja au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cjajua kiundani ila KEN and other Technicians wanatoka GTP wanaenda Kwa Jason kuchek Gar kama zipo sawa mfan Hii Arusha drive.. Gari zinazotoka Dar zinatok na Technicians hapa Gtp.. Wanaend kumod gari zote pale arusha kuziweka sawa kwa Race..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anhaaa nimekupata.... lakini jason naye siana workshop yake pale kwake na anafanya tuning pia au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes ni ww tu.. But kubali kuua gari milele.. Maana Gari inakuwa haina RALLY SPECS

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna garage zinafanya body tunning kwa hapa Tanzania sijajua kama zipo. Kuna kipindi nilikuwa Mbala -Zambia nilikutana na jamaa ana Nissan Datsun ilipelekwa South Africa kufanyiwa Mods kwenye Body na kuiweka kwa ajili ya Rally na anasema gharama ni kawaida.
Engine kafunga RB26DETT na imepigwa mapping za kutosha na wa South.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heheh pesa tu Rb26DETT kwa harak harak bei gan..?

Datsun yenyewe tu bei gan?

Kusafirisha bei gan? Kwenda na kurud..

Alaf na gharam za ufundi jumlisha na replacement ya parts mbal mbal..

Pesa inamwagika..


Bongo hapa mfan Hari Singh wale Gar zao wanazimod wenyewe mafund body wapo.. Wanatia Rollcage.. Saf kbs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…