For petrol heads wote

For petrol heads wote

Kiongozi nimekufatilia sana kwenye huu uzi bila shaka ulikuwepo kwenye eneo la tukio. What happened???
ah kuna gari ilifail brake at the same time kuna gari ilikuwa ina cross barabara ili ikapaki...sasa zikagongana na zikapaa mpk pemben ambako ziliwaangukia watazamaji waliokuwa wamechill..

almost 8 people wamekufa but others wanaendelea vzr.. ni vitu vya kawaid ktk jamii ya motorsports RIDE OR DIE.
 
Hii habari imesikitisha sana
 
official News... only 2 people ndio wamefariki..

achaneni na habari za Uongo zinazoendelea ktk social media
 
Back
Top Bottom