For petrol heads wote

For petrol heads wote

huwa inatoka ratiba ya mwaka.. au miezi mitatu mbele... ila mchezo wa Rally ulikuwa unakuja kwa kasi..(msaada wa AZAM media umechangia sana kuvuta mashabiki wengi) ila WAHINDI wanaharibu kila kitu.... sisi wabongo tunabaki kuwa wapambe tu.. tukizidi sana.. tunakuwa NAVIGATORS,,,, at least kwa Arusha kule... wanajitahidi muamko ni mkubwa.. ila kwa overall perfmnce ya wazawa ni ndogo.. acha wakina PANDYA waamue wanavyotaka....

kibaya zaid.... DHARAU nyingi....
Wanafanya wanachotaka kwa kuwa wao ndio wapo wengi katika mchezo.

Wabongo hawaogopi kucheza rally wangefanya kama Uganda au Zambia watu waruhusiwe kucheza na 2wheel cars kama Toyota Allex,Runx,Vits na Starlet ila ziwekewe zile safety bar.

Rally haina maana kama kila siku washiriki ni wachache, watu wacheze hata na 4×4 Offroad car kama Land Cruiser,Land Rover n Toyota Hilux.
 
Kama wale waangalizi wa usalama kipindi mashindano yanaendelea sidhani kama wanapata Safety Training kabla ya Rally.

Mara kibao naona familia fulani ikishuka kwenye gari mtu au kijana anapewa Reflector awe anacheki usalama.

Mchezo unabidi uwe kibiashara kama vijana wapewe mafunzo na iwe ni mchezo wa kuzalisha ajira.

Kwa mazingira haya ya Rally zetu wadhamini watabaki kuwa wahindi wenyewe.
Hakuna wataalamu wa marketing kuvutia makampuni mengi yakadhamini rally.
 
Sprint ya tarehe 20/10/2019 iliyoandaliwa na Mzizima Motor Sport Club pale Tanganyika Packers ilikuwa nzuri kwa 4×4 cars.

Gari ndogo zote 6 hazikufanya vyema kwenye muda kutokana na hali ya barabara kuwa na tope.

Tufail alitumia muda mchache akiwa na Nissan Patrol na Land Cruiser series 80.
 
Aisee.. Npo maporini huku sina updates kabisa!! Nishazoea kuhudhuria Live.. Au kupata updates on whatsapp! Huku smartphone sijawasha nina miez miwili sasa.. 2subiri Wadau waje...

Offshore... Umezungumzia kuhusu kujitangaza.. Huu mchezo kwa Tanzania nafananisha na Golf!.. Kuna nadharia kuwa ni mchezo wa matajiri.. Jibu ni ndio na hapana kwa wakat mmoja.. Huu mchezo kama huna hela / bajeti nzuri.. Utapat changamoto.. Na watanzania wengi kipato chetu ni changamoto!

Huwez kwenda section ktk service park una tairi mbili tu! Na tairi sio za elf 30! Tairi zenye rally specs ni kipengele... Ukija shockups/coilovers.. Mambo ni mengi.. Kikubwa ni kushow up talent ... Wahindi wakikuona huenda ukadhaminiwa hata Gari..
Ila hapana.. WATANZANIA hatujitumi! Mcheki Tufail.. Alipata ushndi.. Kwa kutumia ile old gc8! Ambayo kwa Mtanzania wa kipato cha kawaida anaweza kuimudu ... Tujitume
 
Poa mkuu, mwakani nitajitahidi nicheze Rally hata upande wa 2wd. Nikienda Uganda kule hata Corolla,Vits na Starlet nacheza.
 
Tuombe Mungu,mie nitakuwa pembeni hapo... (Nav) O+

ila anza kubuild mapema project car..

Nitatoa mchanganuo wa setup and framework ya Rally car!
 
Kuna wadau kama wawili walikubali kunipa gari zao nicheze nazo, wao umri umeenda ila ni wapenzi wa rally.

Kuhusu kuvunja au gharama kwao si tatizo.
 
Project car yako unafaikiria iwe ipi boss?
Kuna Nissan Laurel (RB26DETT) na Starlet Glanza.
Mkuu sio gari yangu nitashiriki kwa kutumia gari za wadau waliokubali kunipa gari zao nichezee.

Rally ya kucheza bila mazoezi, hii ukicheza unakuwa umeshiriki kama mpenzi wa rally.j
 
MR mng'ato..

Mie nikibuild project car hasa kwa rally specs.. Ntatumia bajet kubwa sana.. Ngj nichambue kwa ujumla.. TECHnically

>ROLL cage
>racing seats
>Racing belts "TAKATA"

>ENGINE.. Ntatumid Toyota based.. Only 1jzgte racing ECU na Meth water addition (hapa ntatumia Drag race specs ili kupata hp kubwa na torque)

>MIGUUNI ntatumia offroadic coilovers and suspensions.. As well tairi na rims ziwe ni za rally specs moja niliuliza nikaambiwa 1m.. So nne 4m.. Bdo za akiba na za service park almst niwe na bajet ya mil 8 ktk tair tu.

Navigation panel with Gps.

Vitu vng sana ntaweka.. Pia nitadeal na usalama wangu hvyo nitabalance weight nzr..

Gari napendekeza.... Iwe yeyote tu ila 4wd.. Au Rwd..

Kwa upande wa Glanza i thnk almst ni Fwd.. Itasumbua ktk kona.
 
Offshore.! Umepata sponsor.. Hapo ni wewe tu! Ukipata Flatout unapush to the limit..!
Kuhus Rb26! Hapo si unat2mia jiko la GTR?.. Kaz kwako...! Ushndwe kusumbua proto ya huwel maan jikon ana jiko la Evo x! Kwa ushaul tumia hyo Nissan.. Glanz itakusumbua ktk kona othrwise uwe mtaalama wa sideways kwa ku2mia Fwd!

Nimesahau kitu
ktk bajet include;

>racing suit
>protective gears hapa helmet,boots na vngne
>entrance fee
>membershp fee
>kuna vibali kadhaa including Bima.
>fuel consumption lazm uwe na lita kazaa ktk service park yako!

#allthebest!
 
MR mng'ato..

Mie nikibuild project car hasa kwa rally specs.. Ntatumia bajet kubwa sana.. Ngj nichambue kwa ujumla.. TECHnically

>ROLL cage
>racing seats
>Racing belts "TAKATA"

>ENGINE.. Ntatumid Toyota based.. Only 1jzgte racing ECU na Meth water addition (hapa ntatumia Drag race specs ili kupata hp kubwa na torque)

>MIGUUNI ntatumia offroadic coilovers and suspensions.. As well tairi na rims ziwe ni za rally specs moja niliuliza nikaambiwa 1m.. So nne 4m.. Bdo za akiba na za service park almst niwe na bajet ya mil 8 ktk tair tu.

Navigation panel with Gps.

Vitu vng sana ntaweka.. Pia nitadeal na usalama wangu hvyo nitabalance weight nzr..

Gari napendekeza.... Iwe yeyote tu ila 4wd.. Au Rwd..

Kwa upande wa Glanza i thnk almst ni Fwd.. Itasumbua ktk kona.
Hii project yako ni hatari sana. Ukiingia kwenye rally wewe lazima usumbue sana maana maandalizi na ubora wa gari ni mkubwa.
 
Hahah bro.. Kuwa na gari iliyotimia haimaanish kuwa perfomance itakuw juu!!

Mfano kuna watu wana Evo x! Lakin Gc8 inabeba ushndi.. Hapa kuna ishu ya Udereva! Pia watu wanamsahau Navigator! Huyu anachangia kufaul au kufeli kwa driver..

Then hzo specs ni standard tu (za kuanzia)

kuna gari zinatoka kiwandani ni full rally spec!

Ile ford proto ya huwel ni rally spec car.. Imekuja kafanya kumwaga oil tu.!

Ile skoda Fabia ya Manvir! Pia mulemule..

I wish nipate skoda au proto! Maana kumiliki Yaris ni kimbembe thou proto ya huwel i thnk mil400 pale! Ile skoda ya manvir 1BIL!

watu wamewekeza..
 
Daah mzee baba hizo UPGRADES sio za mzaha mzaha aisee ,kuna mwana yuko Kigali ana project car yake MR2 still under construction siku ikikaa mkao ntaitupia hapa.

Kuna sehemu nimeiona Aristo 2JZ-GTE Auto inauzwa bei ya kawaida tu, manual gearbox ipi inaweza kufit hapo incase nikitaka ku-swap mkuu?

MR mng'ato..

Mie nikibuild project car hasa kwa rally specs.. Ntatumia bajet kubwa sana.. Ngj nichambue kwa ujumla.. TECHnically

>ROLL cage
>racing seats
>Racing belts "TAKATA"

>ENGINE.. Ntatumid Toyota based.. Only 1jzgte racing ECU na Meth water addition (hapa ntatumia Drag race specs ili kupata hp kubwa na torque)

>MIGUUNI ntatumia offroadic coilovers and suspensions.. As well tairi na rims ziwe ni za rally specs moja niliuliza nikaambiwa 1m.. So nne 4m.. Bdo za akiba na za service park almst niwe na bajet ya mil 8 ktk tair tu.

Navigation panel with Gps.

Vitu vng sana ntaweka.. Pia nitadeal na usalama wangu hvyo nitabalance weight nzr..

Gari napendekeza.... Iwe yeyote tu ila 4wd.. Au Rwd..

Kwa upande wa Glanza i thnk almst ni Fwd.. Itasumbua ktk kona.
 
Daah mzee baba hio ya 1bil kabla sijaulizia specs zake nyingine,inasukuma horsepower kiasi gani mkuu.

Hahah bro.. Kuwa na gari iliyotimia haimaanish kuwa perfomance itakuw juu!!

Mfano kuna watu wana Evo x! Lakin Gc8 inabeba ushndi.. Hapa kuna ishu ya Udereva! Pia watu wanamsahau Navigator! Huyu anachangia kufaul au kufeli kwa driver..

Then hzo specs ni standard tu (za kuanzia)

kuna gari zinatoka kiwandani ni full rally spec!

Ile ford proto ya huwel ni rally spec car.. Imekuja kafanya kumwaga oil tu.!

Ile skoda Fabia ya Manvir! Pia mulemule..

I wish nipate skoda au proto! Maana kumiliki Yaris ni kimbembe thou proto ya huwel i thnk mil400 pale! Ile skoda ya manvir 1BIL!

watu wamewekeza..
 
Kuna Nissan Laurel (RB26DETT) na Starlet Glanza.
Mkuu sio gari yangu nitashiriki kwa kutumia gari za wadau waliokubali kunipa gari zao nichezee.

Rally ya kucheza bila mazoezi, hii ukicheza unakuwa umeshiriki kama mpenzi wa rally.j

Daah safi sana mkuu,afu sijui ni kwanini Nissan Laurel RB25DET hazijawahi kua popular kiaina hapa bongo compared tu JZX100,wkt Laurel ni chuma fresh sana tu na ma-mbio iko fresh tu.
 
Skoda Fabia R5! Ikiwa ni stock ina hp 275! Ila kuna moja ken_block kaipiga mods ina 600hp! Ila kwa upande wa rally 275hp up to 300hp znatosha sana.. Maana huku ni kuwa sharp ktk kona ndio muhimu! Tukiangalia muundo wa skoda na proto zinasifika sana ktk kona kwa sababu nyuma zmekatwa hvyo maesabu ni madogo mno ktk sideways mbalimbali.
 
Inawezekana kaka ila itakuingiza cost.. Ila Manual gearbox ni tamu sana..

Setup itabd ufumue feet panel.. Uongeze pedal
bado inabd uwek mfumo wa clutch

kuna viset up itbd umwage vihela kdg.. Bora uagze complete na Aristo Manual! Mh.. Kimbembe kuipata kizembe
 
Daah safi sana mkuu,afu sijui ni kwanini Nissan Laurel RB25DET hazijawahi kua popular kiaina hapa bongo compared tu JZX100,wkt Laurel ni chuma fresh sana tu na ma-mbio iko fresh tu.
Nissan Laurel nadhani watu hawakuipenda ule muonekano.
Ila ina nguvu na mbio pia hata ukipiga shimo gari imetulia sana.
 
Back
Top Bottom