Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Wanafanya wanachotaka kwa kuwa wao ndio wapo wengi katika mchezo.huwa inatoka ratiba ya mwaka.. au miezi mitatu mbele... ila mchezo wa Rally ulikuwa unakuja kwa kasi..(msaada wa AZAM media umechangia sana kuvuta mashabiki wengi) ila WAHINDI wanaharibu kila kitu.... sisi wabongo tunabaki kuwa wapambe tu.. tukizidi sana.. tunakuwa NAVIGATORS,,,, at least kwa Arusha kule... wanajitahidi muamko ni mkubwa.. ila kwa overall perfmnce ya wazawa ni ndogo.. acha wakina PANDYA waamue wanavyotaka....
kibaya zaid.... DHARAU nyingi....
Wabongo hawaogopi kucheza rally wangefanya kama Uganda au Zambia watu waruhusiwe kucheza na 2wheel cars kama Toyota Allex,Runx,Vits na Starlet ila ziwekewe zile safety bar.
Rally haina maana kama kila siku washiriki ni wachache, watu wacheze hata na 4×4 Offroad car kama Land Cruiser,Land Rover n Toyota Hilux.