Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
aaaaaaah lile dubwasha la weistec enginearing bora lisije likija ushindi utaenda kwa wakenya 😂😂😂😂Kwa kule MASSINGA TT kwanza Track ni fupi.. Ila OldonyoSambu kuna TRACK ndefu... Kias kwamba Ukiachwa unakubali umeachwa kwa HAKI..
Saiv naona kila mtu yupo kimya anafanya mods kimya kimya.. Naitaka ile AMG jini.. Lije pia.. Na 1000hp zake.
Sent using Jamii Forums mobile app