Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Pandya ameishakuwa mdebwedo na Subaru GVB gari mpya imeshindwa kuleta ushindi wakati amepambana na watu wenye gari za kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale jamaa wa Kenya wanakuja kushiriki.LEO ndio Arusha Drive 3.0... DRAG inafanyika OLDONYO SAMBU........
wanakuja ila ile AMG haiji.. naskia imeuzwa pia zat Subaru ya Bett nayo haipo.. ni rumours lknWale jamaa wa Kenya wanakuja kushiriki.
Gtp wameleta gari.wanakuja ila ile AMG haiji.. naskia imeuzwa pia zat Subaru ya Bett nayo haipo.. ni rumours lkn
Kiongozi nimekufatilia sana kwenye huu uzi bila shaka ulikuwepo kwenye eneo la tukio. What happened???DAH... AJALI YA LEO... MBAYA SANAA
Asee nimeona pichaa ni balaaaa sanaaa Mungu wasaidie wahangaDAH... AJALI YA LEO... MBAYA SANAA
ah kuna gari ilifail brake at the same time kuna gari ilikuwa ina cross barabara ili ikapaki...sasa zikagongana na zikapaa mpk pemben ambako ziliwaangukia watazamaji waliokuwa wamechill..Kiongozi nimekufatilia sana kwenye huu uzi bila shaka ulikuwepo kwenye eneo la tukio. What happened???
Asee nimeona pichaa ni balaaaa sanaaa Mungu wasaidie wahanga
Hii habari imesikitisha sanaah kuna gari ilifail brake at the same time kuna gari ilikuwa ina cross barabara ili ikapaki...sasa zikagongana na zikapaa mpk pemben ambako ziliwaangukia watazamaji waliokuwa wamechill..
almost 8 people wamekufa but others wanaendelea vzr.. ni vitu vya kawaid ktk jamii ya motorsports RIDE OR DIE.
Hii habari imesikitisha sana
Ameen[emoji120][emoji120]yeah inaumiza sana,ndio hivyo ishatokea Tuwaombee waliofariki wapumzike kwa Amani.. na wagonjwa wapone haraka