For petrol heads wote

Nilidhani hii ya watu 8 ndio sahihi
 
Dah.. mkuu majukumu MENGI sana........... hata kuingia jukwaani navizia vizia mara moja moja..... ila mambo yatakaa sawa...
Iliyofanyika mwezi wa 9 tarehe 17 nimekuja kupata habari kwenye gazeti naona Dharam Pandya kashinda.
 
Iliyofanyika mwezi wa 9 tarehe 17 nimekuja kupata habari kwenye gazeti naona Dharam Pandya kashinda.
anha... hauna updates zozote za rally i mean Next schedule................. ? then hii december tulizoea kuona ARUSHA DRIVE... ngj tusubir updates
 
anha... hauna updates zozote za rally i mean Next schedule................. ? then hii december tulizoea kuona ARUSHA DRIVE... ngj tusubir updates
Mwezi wa 10 mwanzoni ARC itafanyika Rwanda. Mount Gorrilla ARC dereva wa Tanzania aliyethibitisha kwenda ni Dharam Pandya.
 
AAT na Mzizima Motor Sport Club taarifa wanatoa kwa kuchelewa na mitandaoni kwenye page nako ni majanga taarifa wanatoa wakijisikia.

Waziri Mwakyembe inabidi awashtue wamelala sana na wamejipa vyeo kama kachori mchezo hausongi mbele kila siku.
 
huwa inatoka ratiba ya mwaka.. au miezi mitatu mbele... ila mchezo wa Rally ulikuwa unakuja kwa kasi..(msaada wa AZAM media umechangia sana kuvuta mashabiki wengi) ila WAHINDI wanaharibu kila kitu.... sisi wabongo tunabaki kuwa wapambe tu.. tukizidi sana.. tunakuwa NAVIGATORS,,,, at least kwa Arusha kule... wanajitahidi muamko ni mkubwa.. ila kwa overall perfmnce ya wazawa ni ndogo.. acha wakina PANDYA waamue wanavyotaka....

kibaya zaid.... DHARAU nyingi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…