Inawezekana kaka ila itakuingiza cost.. Ila Manual gearbox ni tamu sana..
Setup itabd ufumue feet panel.. Uongeze pedal
bado inabd uwek mfumo wa clutch
kuna viset up itbd umwage vihela kdg.. Bora uagze complete na Aristo Manual! Mh.. Kimbembe kuipata kizembe
Kweli mkuu nadhani sometimes watu tunakuaga hatujui magari mazuri tunafuata upepo unavyoenda tu mkuu.Nissan Laurel nadhani watu hawakuipenda ule muonekano.
Ila ina nguvu na mbio pia hata ukipiga shimo gari imetulia sana.
Aisee mkuu aristo manual naona hakuna kabisa/hazikutengenezwa from kiwandani.Ni auto mwanzo mwisho.Ah gari za siku hizi wanatoa Automatic sana.. Kwa Aristo Manual kutok kiwandani.. Sijui kama zipo au hazipo.. Ila hata ukiipata Manual..kwa asilimia kubwa Inakuwa ile iliyofanyiw Mods ktk Transmission!..
Mara nying Toyota wanatoag Manual kwa uchache sana.. Maan watumiaj wachache pia.. Walizonazo hawaziuzi.. Au wanauza bei.. So ktk market znapotea kbsa
dah itakuwa safi kaka.. ila najaribu kuvuta Evo IV ile ya 1999! Ipo vzr mno.. Kwanz ni fuel efficiency alaf ikiwa stock ina 280hp.. 5 gear.. Kama una experience na Evo.. Ukiigusa kdg tu unapata mpk 400hp.. Ile Arusha ya Jason ina 700hp 'anavyodai' ingawa hapa Tz hakuna Dyno ya kupimia hp..Aisee mkuu aristo manual naona hakuna kabisa/hazikutengenezwa from kiwandani.Ni auto mwanzo mwisho.
Najichanga bado,lkn nikiwa njema 1JZ/2JZ-GTE manual itanihusu.
dah itakuwa safi kaka.. ila najaribu kuvuta Evo IV ile ya 1999! Ipo vzr mno.. Kwanz ni fuel efficiency alaf ikiwa stock ina 280hp.. 5 gear.. Kama una experience na Evo.. Ukiigusa kdg tu unapata mpk 400hp.. Ile Arusha ya Jason ina 700hp 'anavyodai' ingawa hapa Tz hakuna Dyno ya kupimia hp..
tukizungumzia 2jzgte ni legendary engine..... unagusa tuning ndogo tu unapata high HP.... vile vile... tukija ktk uvumilivu 2jzgte ni Roho ya paka.. unaweza kutembea na high RPMS kwa umbali mrefu (yaan ku rev engine to the redline ili kupata high torque ya ku vamp speed....) tukija upande wa subaru ONLY sti, hizi zina kauwezo ila kwa upande wangu SUBARU ni gari ambazo hazina SHUKRANI.... utatia mods za kutosha kwa gharama ila mwisho wa siku performance ipo down..... tukija kwa upande wa EVO... hawa jamaa wapo vizuri...mno.. shida ni matunzo kwa huku kwetu spare parts ni kisanga.. bei ipo juu ila Toyota ni affordable... hata ukiua Gearbox una uhakika wa kupata within few hrs...Safi sana mkuu,zamani nilikua najiuliza kwanini gari zote za mjapan zenye ma-mbio za miaka ile ya zamani zilikua top HP ni 280 tu? kuja kufuatilia kumbe kuna kitu kinaitwa Gentleman Agreements.
Yaani ma co. Yote ya kijapani ya magari yaliingia kulimit HP to 280 only ili kupunguza ajali za barabarani maana walikua wameanza kushindana kwny tuning na wajapan kwa tuning wakiamua hata mjeruman hawafikii.
Ila baadae hayo makubaliano yalivunjwa,naonaga supra/gt-r zinakua tuned mpk HP 1400 huko,noma sana mzee.
so mkuu kati ya evo 4 vs imprezza sri wrx vs tourer v 1jz/2jz-gte una recommend ipi ambayo inaweza kuwa tuned atleast to 400-450 hp kwa urahis,affordable na reliable.
Tufail ndio kabeba ubingwa wa NRC.Updates National Rally championship Award's Gala
Tufail mpambanaji haswa anastahili pongezi sana.Tufail ndio kabeba ubingwa wa NRC.
Wadhamini wajitokeze apate hata Subaru impreza N10, N12 au N16.
Mwezi huu kuna Rally ilifanyika Bagamoyo ila sikuhudhuria, Mkenya Manvir Bryan kasumbua sana akiwa na Ford Skoda.
Alafu kabla ya Rally kulikuwa na Nissan GT imefungwa engine ya L/Cruiser V8 imesumbua sana kwenye showoff.
Tufail ndio kabeba ubingwa wa NRC.
Wadhamini wajitokeze apate hata Subaru impreza N10, N12 au N16.
Wakina Gurpal saizi wana Ford Skoda kidogo tumeanza kupata gari za maana.Hahah ndo uone Tz tupo nyuma kias gani..
Hivi haiwezekani kibongo bongo tukatengeneza group B ya kivyetu where there'll be no limits on car modifications? Kati ya rally napenda kuzirudia kuangalia online ni group B. Never disappoints.Wakina Gurpal saizi wana Ford Skoda kidogo tumeanza kupata gari za maana.
Ford Proto, Ford Skoda ,Evolution X na Subaru za kutosha.
Inawezekana mkuu, wenzetu Uganda wana group nyingi kwenye rally zao. Na hii inafanya hata watu wengi wavutiwe kucheza rally.Hivi haiwezekani kibongo bongo tukatengeneza group B ya kivyetu where there'll be no limits on car modifications? Kati ya rally napenda kuzirudia kuangalia online ni group B. Never disappoints.
Sent using Self-propelled Artillery