For petrol heads wote

For petrol heads wote

Shida iko hapo kwny kuipata hio Aristo Manual mzee baba,ngoja nisikilizie mkuu siku nikikaa njema ntaitafuta.
Inawezekana kaka ila itakuingiza cost.. Ila Manual gearbox ni tamu sana..

Setup itabd ufumue feet panel.. Uongeze pedal
bado inabd uwek mfumo wa clutch

kuna viset up itbd umwage vihela kdg.. Bora uagze complete na Aristo Manual! Mh.. Kimbembe kuipata kizembe
 
Ah gari za siku hizi wanatoa Automatic sana.. Kwa Aristo Manual kutok kiwandani.. Sijui kama zipo au hazipo.. Ila hata ukiipata Manual..kwa asilimia kubwa Inakuwa ile iliyofanyiw Mods ktk Transmission!..
Mara nying Toyota wanatoag Manual kwa uchache sana.. Maan watumiaj wachache pia.. Walizonazo hawaziuzi.. Au wanauza bei.. So ktk market znapotea kbsa
 
Aisee mkuu aristo manual naona hakuna kabisa/hazikutengenezwa from kiwandani.Ni auto mwanzo mwisho.

Najichanga bado,lkn nikiwa njema 1JZ/2JZ-GTE manual itanihusu.
 
dah itakuwa safi kaka.. ila najaribu kuvuta Evo IV ile ya 1999! Ipo vzr mno.. Kwanz ni fuel efficiency alaf ikiwa stock ina 280hp.. 5 gear.. Kama una experience na Evo.. Ukiigusa kdg tu unapata mpk 400hp.. Ile Arusha ya Jason ina 700hp 'anavyodai' ingawa hapa Tz hakuna Dyno ya kupimia hp..
 
Safi sana mkuu,zamani nilikua najiuliza kwanini gari zote za mjapan zenye ma-mbio za miaka ile ya zamani zilikua top HP ni 280 tu? kuja kufuatilia kumbe kuna kitu kinaitwa Gentleman Agreements.

Yaani ma co. Yote ya kijapani ya magari yaliingia kulimit HP to 280 only ili kupunguza ajali za barabarani maana walikua wameanza kushindana kwny tuning na wajapan kwa tuning wakiamua hata mjeruman hawafikii.

Ila baadae hayo makubaliano yalivunjwa,naonaga supra/gt-r zinakua tuned mpk HP 1400 huko,noma sana mzee.

so mkuu kati ya evo 4 vs imprezza sri wrx vs tourer v 1jz/2jz-gte una recommend ipi ambayo inaweza kuwa tuned atleast to 400-450 hp kwa urahis,affordable na reliable.
 
tukizungumzia 2jzgte ni legendary engine..... unagusa tuning ndogo tu unapata high HP.... vile vile... tukija ktk uvumilivu 2jzgte ni Roho ya paka.. unaweza kutembea na high RPMS kwa umbali mrefu (yaan ku rev engine to the redline ili kupata high torque ya ku vamp speed....) tukija upande wa subaru ONLY sti, hizi zina kauwezo ila kwa upande wangu SUBARU ni gari ambazo hazina SHUKRANI.... utatia mods za kutosha kwa gharama ila mwisho wa siku performance ipo down..... tukija kwa upande wa EVO... hawa jamaa wapo vizuri...mno.. shida ni matunzo kwa huku kwetu spare parts ni kisanga.. bei ipo juu ila Toyota ni affordable... hata ukiua Gearbox una uhakika wa kupata within few hrs...

2jzgte.. naipendekeza.. ila kwa upande wangu nachagua hili dudu ( 4WD / Manual. 1991 Nissan Skyline GT-R E-BNR32 2600cc RB26DETT TWIN TURBO............
 
Updates National Rally championship Award's Gala
 
Attachments

  • IMG-20191222-WA0076.jpg
    IMG-20191222-WA0076.jpg
    54.3 KB · Views: 2
  • IMG-20191222-WA0075.jpg
    IMG-20191222-WA0075.jpg
    54.7 KB · Views: 2
Wale wadau wa bike kila Jumapili pale Tanganyika Packers Kawe kunakuwa na mashindano ya pikipiki.
 
Mchezo wa pikipiki unaweza ukatupa heshima kidogo. Maana tuna vijana wanauwezo mkubwa wa kuchezea pikipiki.
 
Wakina Gurpal saizi wana Ford Skoda kidogo tumeanza kupata gari za maana.
Ford Proto, Ford Skoda ,Evolution X na Subaru za kutosha.
Hivi haiwezekani kibongo bongo tukatengeneza group B ya kivyetu where there'll be no limits on car modifications? Kati ya rally napenda kuzirudia kuangalia online ni group B. Never disappoints.

Sent using Self-propelled Artillery
 
Inawezekana mkuu, wenzetu Uganda wana group nyingi kwenye rally zao. Na hii inafanya hata watu wengi wavutiwe kucheza rally.
 
Back
Top Bottom