For petrol heads wote

Hivi haiwezekani kibongo bongo tukatengeneza group B ya kivyetu where there'll be no limits on car modifications? Kati ya rally napenda kuzirudia kuangalia online ni group B. Never disappoints.

Sent using Self-propelled Artillery
Hili jambo zuri Sana Kwa wapenda Rally,maana group B haihitaji uwe na gari mpya ni wewe na uwezo wako wa kufanya modifications hata uwe na sport car ya zamani Sana.

Motor club ambayo wapo active ni Arusha, Dar-Mzizima Motor sports Club imepoa Sana wanakaa muda mrefu bila kuandaa event. Wadau tulipata matumaini baada ya kupata mwenyekiti kijana Dharam Pandya ila hali ipo vile vile hakuna mabadiliko.
 
Naomba kujua rally spec wakuuuuu


Then izi gari Kama Ford fiesta protoo Ni shop gan hupaticana easy maana naona sbt na be fwrd hamna.
Then cost paka ifike mkononi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua rally spec wakuuuuu


Then izi gari Kama Ford fiesta protoo Ni shop gan hupaticana easy maana naona sbt na be fwrd hamna.
Then cost paka ifike mkononi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unataka kununua gari ya rally kachukue South Africa na unaweza ukatembelea Gumtree South Africa hii ndio website yao ya minada. Pia wacheki motor sports auction huwa wanauza gari na spea.

Ford Fiesta Proto nyingi body inakuwa imetengenezwa nao ila engine inawekwa ya Evo 10.

Kwa kuanza ungechukua Toyota Yaris au Toyota Runx Rsi kutoka South ambazo ni special kwa rally, gharama ipo kawaida na utapata uhakika wa Msaada wa kiufundi.
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiacha iyo runx na Yaris nyingine ni ipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…