Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Hili jambo zuri Sana Kwa wapenda Rally,maana group B haihitaji uwe na gari mpya ni wewe na uwezo wako wa kufanya modifications hata uwe na sport car ya zamani Sana.Hivi haiwezekani kibongo bongo tukatengeneza group B ya kivyetu where there'll be no limits on car modifications? Kati ya rally napenda kuzirudia kuangalia online ni group B. Never disappoints.
Sent using Self-propelled Artillery
Motor club ambayo wapo active ni Arusha, Dar-Mzizima Motor sports Club imepoa Sana wanakaa muda mrefu bila kuandaa event. Wadau tulipata matumaini baada ya kupata mwenyekiti kijana Dharam Pandya ila hali ipo vile vile hakuna mabadiliko.