Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
- Thread starter
- #121
Sio ya kukosa hiiMkuu ulipotea jukwaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ya kukosa hiiMkuu ulipotea jukwaani
Kuna siku nilikutana na jamaa wa kampuni za watalii walikuwa na Land cruiser 1hz zile long base ilikuwa ni rough road mvua zimenyesha gari kibao zimekwama.Sio ya kukosa hiiView attachment 953232
Kuna siku nilikutana na jamaa wa kampuni za watalii walikuwa na Land cruiser 1hz zile long base ilikuwa ni rough road mvua zimenyesha gari kibao zimekwama.
Hao madereva walikuwa bila watalii walichezea hizo gari kwenye tope mpaka tukahisi tunawadhulumu kwa kutolipa kiingilio.
Wanakwambia Chalii wa R hakwami na Land Cruiser.
Dar dereva anaendesha gari yenye 4wd ile gia ndogo ya 4wd haitumii siku akienda mikoani unakuta amekwama na gari yenye 4wd sehemu ya kawaida.Dereva wa Dar hawez toboa
Dar dereva anaendesha gari yenye 4wd ile gia ndogo ya 4wd haitumii siku akienda mikoani unakuta amekwama na gari yenye 4wd sehemu ya kawaida.
Hapa RAV4 toa weka LandCruza Mkonga,Tar15 twende kiwangwaView attachment 953221
Hapa RAV4 toa weka LandCruza Mkonga,
Range toa weka Difenda ongezea na Hilux hapo double cabin D4-D
Kila gari ina limitations zake bro, sasa hapo Rav4 ndo ingetoboa?!Difenda si hiyo hapo imelala ktk tope
Kila gari ina limitations zake bro, sasa hapo Rav4 ndo ingetoboa?!
Sure!Usisahau na udereva..
Upo mkuu? Kitambo aisee..Tar 23 na 24 kutakuwa na mbio za magari mkoa wa Dar es Salaam.View attachment 1007577
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo Mkuu. Mbona masharti ya kushiriki hii event ni magumu kwenye kipengele cha Comesa Insurance.Upo mkuu? Kitambo aisee..
Arusha drive 3 coming soon.. View attachment 1039814
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilienda kucheki hii rally haikuwa na mvuto sana. Gari zilizocheza zilikuwa chache na wageni kutoka nje ya nchi hakuna hata mmoja aliyeshiriki.Tar 23 na 24 kutakuwa na mbio za magari mkoa wa Dar es Salaam.View attachment 1007577
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwepo pale KAWE? Au ulienda Kigamboni?Nilienda kucheki hii rally haikuwa na mvuto sana. Gari zilizocheza zilikuwa chache na wageni kutoka nje ya nchi hakuna hata mmoja aliyeshiriki.View attachment 1040053
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilienda Kawe, Kigamboni sikwenda.