For petrol heads wote

For petrol heads wote

Mkuu ulipotea jukwaani
Sio ya kukosa hii
IMG-20181128-WA0021.jpeg
 
Kuna siku nilikutana na jamaa wa kampuni za watalii walikuwa na Land cruiser 1hz zile long base ilikuwa ni rough road mvua zimenyesha gari kibao zimekwama.

Hao madereva walikuwa bila watalii walichezea hizo gari kwenye tope mpaka tukahisi tunawadhulumu kwa kutolipa kiingilio.

Wanakwambia Chalii wa R hakwami na Land Cruiser.
 
Hahahahahhah....... Wale hatar mzee ni ma PRO

Back
Top Bottom