Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Huwel gari yake ni ya kisasa zaidi kwa hapa nchini, ndio maana ana kila sababu ya kufanya vizuri.HUWEL walimfanyia Figisu.. Ila alipata free Sprint aliwaonesha kuwa yeye ni balaaaView attachment 1040146View attachment 1040149
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwepo pale.. Nimetoka vumbi full hadi kwenye nywereNilienda Kawe, Kigamboni sikwenda.
Huwel alikuja kutalii na mwanae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile scoda nayo... Inatisha.. Ila jamaa naona hajaimaster vzr.. Coz kuna clip bad kdg aflip..Huwel gari yake ni ya kisasa zaidi kwa hapa nchini, ndio maana ana kila sababu ya kufanya vizuri.
Ngoja tuone changamoto watakayompa Huwel, Hari Singh Team wameleta Ford Scoda Fabia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakikaa nayo muda mrefu ataizoe kama Huwel alivyozoea Ford Proto.Ile scoda nayo... Inatisha.. Ila jamaa naona hajaimaster vzr.. Coz kuna clip bad kdg aflip..
Next Rally ni ARUSHA.. kitu kama hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah tusubiri tuone..Hakikaa nayo muda mrefu ataizoe kama Huwel alivyozoea Ford Proto.
Rally zijazo zitachangamka kama wakina Carl Tundo, Bryan Manvir na Muna Singh Jr wakiwa wanakuja Tanzania na wanakuta kuna gari za kisasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tufail ni dereva haswaa ila kakosa gari ya kisasa.Tufail kam kawaida yake na Gc8.. Heheh katembea juz na 2 wheels.. Sijawah skia ameflip.. View attachment 1040921
Sent using Jamii Forums mobile app
Tufail ni dereva haswaa ila kakosa gari ya kisasa.
Mimi ni shabiki wake nafurahi sana anapo onyesha uwezo wake kuendesha gari.
Tufail is the best driver.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi yupo vizuri maana anawatoa kamasi mpaka wenye gari za kisasa.Unajua kuwa Tufai ni fundi mwenyewe wa gari yake.. Ikiharibika anafix mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi yupo vizuri maana anawatoa kamasi mpaka wenye gari za kisasa.
Mapping anafanya mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tz ule mchezo ni cost sana ndio maan Wanaocheza na wahindi ndio wengiTanzania mchezo wa Rally haujapewa kipaumbele na hakuna njia za kuutangaza zaidi kimataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Corolla supper limited niilete?.
hahahah utapigwa gape la contena saba na head start unapewa ya 30 seconds ππππCorolla supper limited niilete?.