For petrol heads wote

For petrol heads wote

Huwel gari yake ni ya kisasa zaidi kwa hapa nchini, ndio maana ana kila sababu ya kufanya vizuri.
Ngoja tuone changamoto watakayompa Huwel, Hari Singh Team wameleta Ford Scoda Fabia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile scoda nayo... Inatisha.. Ila jamaa naona hajaimaster vzr.. Coz kuna clip bad kdg aflip..

Next Rally ni ARUSHA.. kitu kama hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile scoda nayo... Inatisha.. Ila jamaa naona hajaimaster vzr.. Coz kuna clip bad kdg aflip..

Next Rally ni ARUSHA.. kitu kama hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakikaa nayo muda mrefu ataizoe kama Huwel alivyozoea Ford Proto.

Rally zijazo zitachangamka kama wakina Carl Tundo, Bryan Manvir na Muna Singh Jr wakiwa wanakuja Tanzania na wanakuta kuna gari za kisasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Massinga nako kunawaka moto 27/28 April..
IMG-20190305-WA0017.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom