For petrol heads wote

For petrol heads wote

Ipo category zenu.. Ngoj nikutafutie Clip moja ya cruiser inavyopepea... Hatar so ni ww tu maamuz yako.. Kama Toyota Runx inaingia iweje Landrover ishindwe
cku ikitokea ya landrovers nitashiriki kikamilifu
 
cku ikitokea ya landrovers nitashiriki kikamilifu
Land Rover ipo inayoshiriki hapa Tanzania.
Kwenye Tanga Rally mwaka juzi kuna Land Rover short chasis ilicheza Rally.

Na Tanga kuna mzee anaitwa Ba Hoza anatumia Range Rover Old Model kucheza Rally.
 
Land Rover ipo inayoshiriki hapa Tanzania.
Kwenye Tanga Rally mwaka juzi kuna Land Rover short chasis ilicheza Rally.

Na Tanga kuna mzee anaitwa Ba Hoza anatumia Range Rover Old Model kucheza Rally.
Kesho. Moto unawaka MZIZIMA rally... Kigamboni mwasonga..
 
Updates za masinga TT.. Moto huko.. Kuna hiyo mashine ina 1000hp.. Sie Hapa Tz tunaend na Evo 6 tunayoiamini ina 700hp tu.. Ngoja tuone
IMG-20181007-WA0025.jpeg
IMG-20181007-WA0026.jpeg
 
Back
Top Bottom