For serious & single ladies: Nipo kwenye harakati za kutafuta mke mwema


HONGERA SANA MKUU natumaini itakuwa kama ilivyo kwenye signature yako tuko pamoja ''Naomba mke nitakaye mpata awe ametoka kwa Bwana'' .......Taluma
 
HONGERA SANA MKUU natumaini itakuwa kama ilivyo kwenye signature yako tuko pamoja ''Naomba mke nitakaye mpata awe ametoka kwa Bwana'' .......Taluma

Definately bro.................!

BWT: TEAMO kwa niaba ya wanyalu, amepewa heshima ya kutoa tangazo lakufunga mchakato huu hapa JF,hope atafanya hivyo kesho!
 
Definately bro.................!

BWT: TEAMO kwa niaba ya wanyalu, amepewa heshima ya kutoa tangazo lakufunga mchakato huu hapa JF,hope atafanya hivyo kesho!

Taluma PM yangu umeiona?
 
mnh kama kweli huyu bwana kapata emails/pms nyingi kama anavyosema,then kuna wadada tuko desperate...i can sense his selfshiness pale aliposema ana watoto wa wawili ila hataki mtu mwenye watoto..mnh mnh:twitch:
 
Ok let me tell you. Call me wht ever u wanna call me but im Tanzanian in my blood. My mum is half tanzanian and Colombian you know latina and my dad he is Danish from Denmark and I see my selv like a danish,latina and african. But about girls boyyyyzzzzzzz EVERY BODT can smell if u ndt wash ya selv nicely we are human so not onlly girls.
 
I was I Tz last year with my family and I like it. It was ma first time but the problem tht I had was people where smelling so bad NOT evrybody but some taxi driver, people on the street,club, and something dalahdalah damn I couldnt breath otherwize I lvvvvvvvvv it and im going again nxt yeah with my whole family cnt wait.
 

hahaha! those are real men! full of testosterone hormone!, that is what make boys into men and start to get smelly in their armpits. so welcome back home Drln
 
Maskini sifa zote anazo Shangazi yangu mkalia kiti kikubwa mjengoni Dom! Kasoro age wise! Tu otherwise ningem'consult! Oooh-maamaa (weka melodysound ya kisharobaro)
 
mmh kila la kheri kaka ktk huu mchakato wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…