Haaa,
kwani wewe umetokea wapi nchi hii,
Tena kuna nyingine zinazidi kunijia. Nitazidi kuziweka hapo.
THOSE ARE MYTHS............... na zipo nyingi tu
1. jicho la juu likicheza utamuona mtu uliepotezana nae kwa muda mrefu
2. jicho la chini likicheza utapata msiba
3. mkono ukikuwashwa utatoa pesa
4. mguu ukikuwasha utasafiri
5 viatu vikipandiana utasafiri
6. **** likicheza uta*******
7. kama unamfata mtu ukipigia chafya humkuti na ukipiga mara mbili basi unaweza ukamkuta au usimkute.
8. Kama unaenda safari njiani akalia dudumizi basi ujue malengo yako hayatatimia
9. Mjukuu akichungulia kilindo (ghala) la chakula mtaingiwa na njaa
10. kama mnawinda ukiona wanyama wanapandana ujue mmoja wenu kaingiza mwanaume mlipoondoka!
11. Kwa ndugu zetu wapare ni kama kawa baba kula faida!
12. Wapare kuna koo hawaruhusiwi kuioa au kuolewa nayo eti mlango wa nane!
Yaani list ni ndefu sana inategemea na mila na desturi za watu tofauti tofauti