na kumpaka mtoto wanja aidha kwenye nyusi nao kunazuia nini? waswahili twapenda sana!!
namaba nne ya kwanza kweli ni mambo impossible......sasa utakuwa watafuta nini duh!!! iamani zingine we acha tu!
hiyo no mbli kuhusu mambo ya watoto hata mie niliambiwaga hilo, bac nilikuwa clali nasubiria kicjeniletea maafa kwa mtoto...hivi ni imani tu au? DC unajua kama kikidondokea bahati mbaya unafanyaje? yaani nilivyambiwa ndio nikafanya kukesha kabisa...naku pm.
Haaa,
kwani wewe umetokea wapi nchi hii,
Tena kuna nyingine zinazidi kunijia. Nitazidi kuziweka hapo.
zongo...eti mtu akimwangalia kwa jicho baya balaa licmpate mtoto, khaa uswahili wanaitumia hii formula sana, unakuta mtoto kakandikwa miwanja utasema mcheza shoo wa twanga.
Nyamayao unaamini hiyo kitu?
naomba clear explanation kwa wenye uzoefu,is it true kwamba kitovu kikidondokea nanihiiiii ya mtoto atakuwa hawezi.....
Inawezekana mtu anasema haamini...ila kwa hofu ya yeye kuwa mfano wa kutokewa na mabaya, basi anafata hiyo miiko kimyakimya...!
Nyamayao unaamini hiyo kitu?
kujitia dhiki tu ......kwa kufuata vitu visivyo msingi.
c unajua uoga bac na mie nakakesha...lol
Inaonyesha jinsi gani ulivyo mtoto,na hii site siyo size yako,watoto hawarusiwi!this is mind boggling!
sijui hata nianze wapi! karibia ya zote ndo kwanza nazisikia leo!
Unajua hizi hofu zinajengwa ndani ya vichwa vyetu tangu tukiwa wadogo sana....ni ngumu kuvifuta!
Binafsi hadi leo naogopa kukatiza makaburini usiku (naogopa mizuka/mizimu)...kama ikibidi kupita sehemu ya makaburi basi natoka mbio labda kumzidi yule mjamaika Usain Bolt...:llama:
:hand::hand::hand::hand::hand::hand:zongo...eti mtu akimwangalia kwa jicho baya balaa licmpate mtoto, khaa uswahili wanaitumia hii formula sana, unakuta mtoto kakandikwa miwanja utasema mcheza shoo wa twanga.
haki ya nani nimecheka sana, kama nakuona unavyotoka mbio.....
Inaonyesha jinsi gani ulivyo mtoto,na hii site siyo size yako,watoto hawarusiwi!
namshukuru Mungu sijalelewa kwenye nyumba yenye kuzungumzia hivyo vitu.
nyingi ya hivi nilivyovisikia kwenye thread hii ni mara yangu ya kwanza
Kumbe nyie watu mnajuana?:llama::llama:
Kumbe nyie watu mnajuana?:llama::llama:
mie hizo imani nyingine nilikuwa nazickia wala zichukulii kihivyo, lakini hii ya mtoto Gaijin wacha tu. ilibidi tu nikeshe.