For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

KITiMOTo una shida kubwa kichwani
 
Wizi wa nini wakati Lissu ni mgombea dhaifu kuwahi kutokea. Hata enzi ya CUF ngangali kiwango chake Lissu hajakifikia hata nusu.Acheni kumpa sifa asizostahili, yule anashindwa asubuhi mapema Lissu kilichombeba kwenye kampeni ni risasi zake 16
Yule an
 
Lkn mifumo yote hio ni Takataka pindi umma ukiamua kufanya mabadiliko,hio ilifaa kizazi mfu cha zamani na sio cha sasa.Nguvu ya upepo wa mabadiliko iliyoanzia afrika kaskazini ingali ikisambaa afrika nzima hata Kama sio kwa speed
 
Wizi wa nini wakati Lissu ni mgombea dhaifu kuwahi kutokea. Hata enzi ya CUF ngangali kiwango chake Lissu hajakifikia hata nusu.Acheni kumpa sifa asizostahili, yule anashindwa asubuhi mapema Lissu kilichombeba kwenye kampeni ni risasi zake 16
Yule an
Saa Mbovu.
 
Vibendera wa Jf huwa "carried" na nyomi za kampeni miaka yote ila kabla na baada ya kampeni huwa wanaongea uhalisia.

Kifafa huanzia kwenye mikutano ya kampeni na kuisha siku ya kutangazwa mshindi.

Waliporusha chopa tatu kwenye by election 2014 na kuambulia kata 3 kati ya 27 napo makelele yalikuwa haya haya tu.

Hiyo sheria pendekezwa inatumika nchi yoyote hapa duniani?

Mwaka 2005 George Weah alishinda uchaguzi duru ya kwanza ila hakufikisha 50%,akaenda duru ya pili na Ellen J Sirleaf

Ellen akashinda,Weah ikaishia hapo hata udiwani hakupata na maisha yakaendelea.

What's so special with Lisu?
 
Hayo ya kuteuliwa ni yakwenu wewe pascall mayala yaani manjaaa, proffesa wa jalalani, yule Bibi kidude wa mbeya, na wengine wenye Kama wewe wasaka tonge sio msaka haki na mzalendoo Lissu kuomba au kusubili kuteuliwa. Njaaaaa=mayalla
 
Umeshindwa kumshauri afate katiba ya nchi unahangaika kumshauri kitu ambacho wala hana hata nia nacho kwani alishasema tayari.
Kama unataka haya yafanyike mshaurini alete katiba mpya tu ili hizi ngonjera ziishe.
Rais Magufuli inajulikana hashauriki na nyinyi mnaojifanya kumshauri mnajua pia kuwa hamna uwezo wa kumshauri afate katiba iliyopo kwahiyo mnachofanya ni kujionyesha kwake tu baada ya kuwaambia ukweli kuwa yeye ni JIWE na wewe ushakutana na jibu lake.
 
Nikupe shule , siasa ni upepo na sio hisabati, kulimnganisha jiwe na Lisu ni kumkosea heshima Lisu, jiwe hawezi siasa za hoja Wala za ushindani nje ya kubebwa, hana historia ya kushinda chochote hata ubunge alibebwa baada ya kuukosa mara mbili ndo akaja na mbinu za kupita bila kupingwa akiwa ndo muasisi wa uhuni huu baada ya kumlob msimamizi wa uchaguzi. Njaa ya miaka hii 5 imepeleka muaamko Mkubwa sana wa kuikataa ccm vijijini kuliko hata mjini kila mtu ni shahidi kwa taarifa yako, Kama trump tu anajulikana Hadi vijijini sababu ya mitandao sembuse Lisu, police wamefanya kazi nzuri Sana ya kuibomoa ccm ichukiwe zaidi na wananchi kupitia vitendo viovu walivyowatendea wapinzani kwa miaka 5 hii na kusaidia upinzani kuzidi kuwa maarufu zaidi rejea kesi zisizo walizobambikiwa wapinzani, kifo Cha Aquiline, kufungwa kwa Mbowe, kamatakamata ya Zito, Lisu,zuio la mikutano na, manunuzi ya wapinzani, kusomeshwa namba, matumizi mabaya ya Kodi zetu,undugunaizeni, nk hii imepelekea zaidi kuzalisha chuki kubwa Sana dhidi ya ccm kwa sababu watz kiasili ni watu wa huruma na upendo hizi tabia za kihutu hatuna ukimtesa mtz mmoja ni Kama umewatesa wote, mioyo ya wengi imeumizwa thus baada ya ujio wa Lisu umebadilisha upepo na kuleta Hali mpya ya kila mtz kujitokeza kwenda kulipiza kisasi dhidi ya mateso maana wengi walikata tamaa ya kupiga kuacha kupiga kura sababu ya uhuni wa yaliyojitokeza ya chaguzi za kihuni za serikali za mitaa za kuwanyima watz haki zao za kuwachagua wawakilishi wao.
Kwa Hali hii ccm inashindaje sasa, maana mbinu zote zao za wizi Sumaye na Lowasa walishatoa Siri pindi wapo upinzani. We uoni wanavyohaha Mara wamkamate mdee, Heche, lema, esta matiko wakihisia wanaweza pata mitambo ya kunasia matokeo wanaambulia patupu.
Jiwe atakuwa chattotown au the Hague sasa hiyo nafasi ya kutoa ubunge atapatia wapi.
 
Tundu Lissu aombe msamaha ...inachekesha!? Kama Kuna mtu anaumuia si aende Mahakamani!
 
Pasco kuna thread yako maalumu naiandaa ntairusha humu soon ili watanzania wakujue vizuri ulivyo .i know you well and you are my friend ila am sorry sipendi unafiki
 
Aanze na kukuteua wewe TL hana njaa.
 
Hapana, kutopiga kabisa kura, ni kushindwa kuitumia haki yako ya kidemokrasia kuwachagua viongozi unaowataka, ikimpigia kura mgombea wa kushindwa, unapoteza kura yako, hivyo badala ya kumpigia mgombea wa kushindwa, kura yako mpe mgombea wa kushinda.
P
 
Kwa mazingira hayahaya, kwa jiamin hivihivi bado mnaweza angukia kilio, lissu haitaji ubunge kwa Sasa Wala uwaziri au ubalozi,lissu dunia inamhitaji hata kuliko wanavyo mhitaji watanzania,lissu hawezi kufa njaa,Sasa utashangaa viongozi wa uvccm wanakichukulia poa Kama mtu wa kawaida,lissu Hana Bei ,labda kuanzia tirion 14 angalau mnaweza anza mazungumzo,ila pia anaweza zikataa,lissu ni vizazi vya kina mwl nyerere,na sio mtu wa kawaida anapigwa mabom na anashuka jukwaa akiwa wa mwisho, lissu amezaa watoto ila Wenda huruka yake wasiwe nayo labda moja ya wajukuu wake huko mbele
Lissu hakuna kiongozi wa nchi hii asiemjua ukitoa mwinyi na nyerere kwa mbali, mfano utawala mwl nyerere Kama mkufunzi wa jkt ungetowa wapi kupinga majenerali but lissu alidhubutu, tundu ni mtundu Sana mpaka mama Makinda analijua ,Tibajuka analijua pia
Tundu sio mtu wa kawaida,na hua ni watu wachache Sana kwenye taifa nasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…