For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

Juzi nimeshangaa uwanja wa arusha ulikua umejaa watoto 10yr kwa haraka ukiwaangalia maskini shule zilifungwa watto wakapewa maform 6 makubwa (oversize) na kofia kificha uso🤔

Gafla ikatokea shot ...kumbe kuna mjumbe kaona kaja leta jau afu anapigia watu kelele maspika makubwa

Watoto walivyp muona dog janja na madee wakataka wasepe wakale visheti na barafu gaflaa get likafungwa auruusiwi kutoka!!😥

Sichukii nashangaa tu

TanzAnia nakupenda kwa moyo wangu wote
 

Wala asimchague kitu muhimu aache Ile tabia yake ya miaka mitano siasa inafanya ccm peke yake

Kati ya vitu ambayo jpm amekosea ni Hiko, hata mm sitompigia kura kwa ajili ya swala Hilo tu

Aiache siasa kama watangulizi wake, kama hakuna siasa basi hata yy na chama chake wasifanye tukio lolote la siasa
 

Kusini hakuna ujinga huo thus wameshindwa kwenda kuwapelekea fiesta
 


Chadema hawajaleta mpasuko wa kitaifa

Lissu hafai hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji


Lissu ni mkosoaji, sio initiator, sio creative, sio mwanzishaji, sio kiongozi huyu
 
AMLIPE STAHIKI ZAKE KWANZA

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 

Magufuli hana uwezo wowote wa kushindana kupitia box la kura, hajawahi kuwa nao na hatakaa awe nao. Usitake kuamini hana uwezo huo, muite leo aje kwenye mdahalo kama atakubali. Kura zetu ni kwa Lisu, hatuna muda wa kuchagua watu mafedhuli.
 
Umeshapata matokeo kwamba Magufuli atashinda? Kabla uchaguzi haujafanyika?
Mkuu Kiranga , soma tarehe ya bandiko hili, ndio tarehe yangu ya matokeo ya uchaguzi wa 2020
P
 
Mabandiko yako yanaweza kuikomboa na kuleta amani nchini, unaongea points za maana sana zenye unabii ndani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…