For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

Kumteua msaliti wa Nchi ni aibu kubwa kwa Taifa

Chadema wametutesa sana kwenye majimbo tuliowachagua ,wametuletea umasikini

Watanzania tumeamua tutachagua Ccm tu Chadema hatuwataki
Kwamba hii shida hapa Manyoni, kongwa, kondoa, Pangani, kiteto,mtama karagwe, bukombe n upinzani? Au sijakuelewa
 
Kamanda soma hoja nzima usiishie kwenye "title"
Hoja nzima ni kuwa MAGUFULI ATAMSHINDA LISSU, na sababu n ccm wana wapiga kura vijijini. Swali 2015 ccm 8mln kura
Cdm 6mln kura

Je ni kwel upinzan haupo vijijini?
Majimbo ya hai, karatu, kilombero, kilosa, rombo, mhambwe, mbulu, iramba, tarime vijijini, serengeti nk ni mjini? Je ya vijijini ni yapi?
 
Unajiweka katika mazingira ya kulaumiwa kwamba upo kati ya waandalizi wa goli la mkono.

Kazi yako ikiwa ni kuwaandaa watu wakubali matokeo kabla ya uchaguzi.

Ukweli ni kwamba, uchaguzi haujafanyika na matokeo hayajajulikana

Zaidi ya hapo, kuongelea matokeo ya uchaguzi huu kabla haujafanyika ni kupiga ramli tu.

Wewe kama una upande kwenye uchaguzi huu, uombee kura tu.

Usirahisishe habari kwa kuotea nani atashinda.
 
Ubinafsi unaotokana na kuwaza kesho yako tu na si hata kesho ya watoto wako na Taifa kwa ujumla, ndio unaoku-drive u-behave in this way.
Hili ndilo tatizo la vijana walio wengi wa Chama cha Chadema! Hawana adabu, wanajisikia mno, wanadhani wana uwezo wa kufikiria mambo ya maana zaidi kuliko wenzao, na ni wabinafsi kupindukia, na wazushi na 'manipulative'!

Katika mazingira haya, vijana hawa walio wengi wa chama cha Chadema, wanakosa maono ya kufikiria kwa mapana thamani ya wao kuwa raia wa Tanzania na hivyo kuona umuhimu wa kuifanya Tanzania iwe Imara na endelevu kimaendeleo katika nyanja zote.

Lawama za uharibifu wa baadhi ya vijana hawa ninazibebesha uongozi wa juu wa chama cha Chadema. Na kama uongozi huo wa chama hicho unaitakia mema Tanzania lazima ufanye kazi yake ya kuwalea vijana hawa katika maadili yanayokidhi vigezo vyote vya hekima , busara na kuipenda nchi yao Tanzania na watu wake.
 
Chadema hawajaleta mpasuko wa kitaifa

Lissu hafai hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji


Lissu ni mkosoaji, sio initiator, sio creative, sio mwanzishaji, sio kiongozi huyu
Kiongozi lazima awe initiator au creative ?
Kama ni mkosoaji na atakuwa anawakosoa wataalamu huenda kikapatikana kitu bora zaidi...
Mwanzishaji ?, aanzishe nini ? huenda hii tabia ya kila mtu kuja na kuanzisha ya kwake ni disadvantage kila siku tunapanga mapya tu na sio kuendeleza yaliyokwishapangwa...

In short mtu ukiwa na diplomasia na busara, muunganishaji na sio mtenganishi unaweza ukawa kiongozi (sijasema Lissu anazo hizo qualities, lakini I guarantee you niliyoyaona miaka mitano iliyopita leaves a lot to be desired)......
 
Mkuu Kiranga , kosa langu ni kuusema ukweli, kama kwenye link ile ulikwenda, then utakuwa umenielewa, kama hukwenda, tuendelee, baada ya tarehe 28 October, tutakutana humu kukumbushana.

P
 
....
Lissu sio saiz ya kuteuliwa Ubunge...Magufuli ndo atapewa wizara ya ujenzi
Muelezwe mara ngapi? Ndugu yetu Lissu siyo 'Presidential material'. Msiharibu kura zenu kwa kumpigia kura zenu hizo! Maelezo juu ya hili yapo mengi humu kwenye JF yetu pendwa yenye members zaidi ya laki tano.
 
No no no no please. He is a traitor. It doesn't make sense to appoint a traitor to be a member of parliament. Kama ni kuteua mtu toka chadema basi ateue mtu mwenye hekima. Huyu aachwe aende zake huko Belgium akananiiwe na hao waliomtuma kuja kutuvurugia taifa letu. Hastahili kupewa heshima ya hivyo.
 
Kupumbuzwa kwa halaiki....pole Sana!
 
Sasa matusi ya nini ? Ana haki kutoa maoni . Ndio democracy hiyo
 
For the sake of what? Mbona mnakuwa na hofu sana ?
 
Sasa matusi ya nini ? Ana haki kutoa maoni . Ndio democracy hiyo
Halafu ni hawa hawa wanasema hawana haki ya kutoa maoni mwenzao akitoa maoni wana'dhibiti'. Watu wa ajabu sana hasa baadhi ya hawa vijana!
 
Yaani uliposema kuwa chadema na lissu wanafahamika mjini tuu ndio nimeishia hapo kusoma ....


nikajua wewe ni bwege na bado Una akili za Zama za mawe za Kati!
 
Akili za kiccm hizi, akili za kijinga, mnawaza vyeo wakati wote...aliyekwambia Lissu anataka Ubunge ni nani?
 
Nakuheshimu lakini ulichoandika ni Ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…