zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Jibu hoja kijana, tatizo hamna exposure mmekariri tu maisha. Sasa kma Disney unakubali ushoga mnaona hawafai kwanni basi mnaangalia EPL au mnatumia google ambayo Ina endorse gay rights??Gay [emoji706]
It's common sense,huwezi kutegemea pedophile,gay au lesbian akupe anything morally sound,if you cannot appreciate that logic,na wewe una shida,ndio maana huoni ubaya wa Disney.Ni vigumu mtu aliyezoea uovu kuona uvu.Naangalia sana animations za Disney na kijana wangu lakini sijaona baya lolote zaidi ya burudani tu.
Siwezi kukubali co-existence na mashoga.Kwanza hata kutamka hilo neno napata ukakasi.Na kwa jinsi unavyowatetea,na wewe lazima utakuwa mmoja wao.Jehanamu ya moto inakusubiri kama hukutubu.Ww ume attack Disney ndio nmekuelewesha ni industry zote so stop cherry picking. Nmekwambia na sio ushoga tu Bali 50-50 za wanawake, haki za wanyama na mazingira!!
So tuache cherry picking, wave ipo kwa industry zote. That's Why nikashauri maadam family Yako au ww haudhuriki then jifunze tu coexistence nao kma tu mnavyoishi na wauza uchi, wagonjwa wa ukimwi or any other thing unachoona hakifai duniani n.k.
Hapo ndio utapata Amani
Sijai-attack,nime-expose their evil,kwani sio kweli?Ww ume attack Disney ndio nmekuelewesha ni industry zote so stop cherry picking. Nmekwambia na sio ushoga tu Bali 50-50 za wanawake, haki za wanyama na mazingira!!
So tuache cherry picking, wave ipo kwa industry zote. That's Why nikashauri maadam family Yako au ww haudhuriki then jifunze tu coexistence nao kma tu mnavyoishi na wauza uchi, wagonjwa wa ukimwi or any other thing unachoona hakifai duniani n.k.
Hapo ndio utapata Amani
It's common sense,huwezi kutegemea pedophile,gay au lesbian akupe anything morally sound,if you cannot appreciate that logic,na wewe una shida,ndio maana huoni ubaya wa Disney.Ni vigumu mtu aliyezoea uovu kuona uvu.
Usimnyime mtoto utamu wa ANIMATION Tafadhali.Mkuu tunashukuru ,wanangu katuni noo
Nimeanza kuangalia cartoon tokea nursery mpaka leo Nina Miaka 32 na bado NAWAPELEKEA MOTO.
The Disney Company believes that grooming your kids is the hill that it wants to die on — which should tell you everything you need to know about the people running Disney these days. No sane corporation would put out a statement such as this one unless it wanted to be recognized as a pro-pedophile organization.
In case you think you’re merely witnessing a strategic marketing blunder or something more innocent, I’ve got news for you: Disney issued this statement about the anti-grooming Florida bill after a bunch of their employees got caught in a pedophile sex trafficking bust by the Florida police.
Let me repeat: After. Disney. Employees. Were. Caught. In. Pedophile. Sex. Bust.
This is not an isolated incident with Disney. In fact, you might say that Disney employees get arrested for child porn crimes and child sex crimes on a regular basis.
And it’s not just a problem with low-level Disney employees either — it starts right at the top. For example, the director of music publishing at Disney, Jon Heely, was charged with three felony counts of child sexual abuse in 2017.
This is the very definition of pure evil, of course. What right does an entertainment company have to intentionally turn your kids into homosexuals? The answer is: none. We have left the boundaries of rationality and capitalism altogether — and nothing can excuse or explain it. America’s parents are now confronted by people who want to commit felonies on their children under the guise of tolerance.
This is Sodom and Gomorrah stuff. These demons recognize no legal or moral boundaries regarding your kids — and they openly acknowledge as much. The LBGT community has essentially merged with the pro-pedophile community.
It’s time to boycott Disney.
It’s time to stop tolerating the intolerable.
These people don’t deserve your sympathy — they deserve prison.
Yaani mkuu huoni ubaya wowote seriously wa kujihusisha na entity ovu!Una shida ya ufahamu.Anyway,sikulaumu,generation hii ina shida.Waswahili wanasema ukitaka kumla bata usimchunguze, sina ubaya na disney kwa sababu wananiburudisha hayo mengine wanayofanya behind the scene is not my business.
Pole sana mkuu!Yaani mkuu huoni ubaya wowote seriously wa kujihusisha na entity ovu!Una shida ya ufahamu.Anyway,sikulaumu,generation hii ina shida.
Kwa hiyo hizo taarifa zote kwenye post ni za uongo!Lakini mimi mbona nikiangalia Disney naona ushenzi mwingi sana.Lots of satanic symbols,witchcraft,sorcery,homosexual gestures you name it.Nadhani kuna shida ya ufahamu.Nimeanza kuangalia cartoon tokea nursery mpaka leo Nina Miaka 32 na bado NAWAPELEKEA MOTO.
Huo ushoga uko wapi?
Punguzeni ujinga kwenye vitu vitamu kama ANIMATION.
#YNWA
Haya yananihusu 100%,siwezi kuacha kuwapa taarifa watu ili waepukane na uovu na udanganyifu wa Shetani,it is my moral duty.Fuatilia maisha yako ,Acha kimbelembele Kwa mambo yasiyokuhusu , idiot
Wewe ni mpuuzi sana aisee,watu wanaharibu maisha ya watoto wetu halafu tunyamaze,Ni mtu muovu sana wewe.It's up to you , you are no body kwenye Huu ulimwengu , huwezi mpangia mtu maisha , stick to your business , don't like your f*cking nose into others affairs
Yaani you are so evil kiasi kwamba unatetea uovu wa Disney uliopindukia tena bila aibu!Mpuuzi ni wewe unayeleta kimbelembele kwenye mambo yasiyokuhusu au unataka na wewe ufIrwe ?
Mbona premier league wanavaa captain armband za Gay pride flag?? Basi muache kuangalia soccer pia!!
Hiyo ni dunia mzima ubaguzi wa rangi au Jinsia unapingwa sana ndio maana feminists sijui black lives matter na mambo ya kutetea ushoga ni mengi ila usijifanye ni isolated case.
Fuatilia movie zote utagundua lazma black person ana leading role, wanawake Wana lead roles na shoga ana lead role zote zinaenda sambamba ssa why utenganishe!! Kma ukiipinga then Pinga vyote vitatu kwa mpigo. Na sio tu Disney ni michezo, mziki, movie kote huko kuna msimamo huo huo.
Stop cherry picking na kuchafua brand za watu
It's common sense,huwezi kutegemea pedophile,gay au lesbian akupe anything morally sound,if you cannot appreciate that logic,na wewe una shida,ndio maana huoni ubaya wa Disney.Ni vigumu mtu aliyezoea uovu kuona uvu.
Kwanini mkishindwa hoja mnaanza kuita watu mashoga? Mimi nina exposure ya kutosha so naheshimu uhuru wa mtu as long as hauniathiri. Sasa toka lini ukisema hilo unakua shoga?Siwezi kukubali co-existence na mashoga.Kwanza hata kutamka hilo neno napata ukakasi.Na kwa jinsi unavyowatetea,na wewe lazima utakuwa mmoja wao.Jehanamu ya moto inakusubiri kama hukutubu.