Nimesoma huu uzi naona akili za watu tayari zimeshachafuka na haya mambo na hizi agenda zimeanza kuwa au zimeshakuwa planted deeply in their subconsciousness. which influences their consciousness to think it's a normal thing now.
Conscious mind (ambayo ni wewe) ndiyo yenye reasoning na decision making, yenye awareness ya baya na zuri na ndiyo inayoamua wazo au idea fulani ikubaliwe au isikubaliwe, ipitishe au isipitishwe kwa kutumia vitu hivyo vitatu.
Lakini Subconscious mind haina reasoning, decision making wala awareness ya baya na zuri bali yenyewe inapokea chochote kitakachopitishwa na Conscious mind, hivyo haijarishi kitu kitakachopitishwa kiwe kibaya au kizuri chenyewe moja kwa moja kitabaki ndani ya Subconscious mind.
Here comes the funny part.
Subconscious mind ndiyo inayoinfluence Habitually na Everyday Thinking ya Conscious mind, means na wewe utaanza kuwa influenced na hiyo idea au wazo ulilopitisha na kuanza kuona ni kawaida sababu it becomes a part of you na inaweza kuescalate now hapa ni mbaya kwa watoto sababu wao bado hawajitambui.
Not done yet, here comes the tricky part.
Conscious mind inaweza ikawa inatambua kwamba wazo au kitu fulani ni kibaya na ikakataa kupitisha hilo wazo.
Lakini Conscious mind siyo lazima ikubali au ikatae wazo fulani directly bali chochote kile ambacho unakifiria kwa muda mrefu na kuksikia mara kwa mara basi automatically kitapita na kubaki ndani ya Subconscious mind, na hivi ndio jinsi gani propaganda zinafanya kazi.
Kwa kukusikilizisha na kukuonesha mara kwa mara means hata kama hautokubali lakini kuna nafasi kubwa ya kuona wazo au kitu fulani ni cha kawaida na utahitaji a strong mind kutambua hili. kwa mara nyingine tena hii ni hatari zaidi kwa watoto sababu wao wanakuwa bado hawajitambui hivyo nafasi ya kupotea ni kubwa.
Kwa mchanganuo huo ndio sababu ya watu wengi humu wamepotea hata comments zao zinaonyesha hivyo.
Angalia na kuwa makini unachokifikiria muda mwingi na kuilisha akili yako mwisho wa siku consequences na matokeo ni hayo hayo.
Nawakumbusha tu waliopotea kwamba binadamu ili awe binadamu ni lazima afuate kanuni za ubinadamu na nature ilivyo, vinginevyo sio binadamu na wala hana utu tena. na ni vizuri kuangalia upande wa imani pia.
Actually I'm not even supposed to be here in this kind of content, I just came to inform and remind you.
nimekuja tu kuwakumbusha.