Kwa hiyo tuhame duniani,kwa sababu kuna waovu,hapana kwa kuwa hatuwezi.Ila kwa kuwa tunajua uovu sio mapenzi ya Mungu,lazima kila wakati tujaribu kuwarudisha walio kinyume na Mungu kwenye msitari,kwa kuwa dhambi ina cost:eternal death.Wala sio unafiki,ni moral duty.Kwanini mkishindwa hoja mnaanza kuita watu mashoga? Mimi nina exposure ya kutosha so naheshimu uhuru wa mtu as long as hauniathiri. Sasa toka lini ukisema hilo unakua shoga?
Co-existence yenyewe si ndio hivi unatumia google ingawa Ina support ushoga. Kama sio unafiki ni nini? Kma hupendi co existence acha kuangalia EPL na kutumia google au kutumia windows maana zote hizo Zina support gay rights!!
Unapingana na Bible? Mungu mwenyewe atatuondoa ulimwenguni kabla ya dhiki kuu kwanini asituache Ili hao waovu waokoke kwanza?? Au kwanini alimtoa Nuhu na Lutu kabla hajaangamiza kizazi Cha wenye dhambi?Kwa hiyo tuhame duniani,kwa sababu kuna waovu,hapana kwa kuwa hatuwezi
Nilikuwa na maana at this point in time.Najua tupo safarini na makao yetu ya kudumu ni Mbinguni.Ila sijui wewe ambaye unashabikia na kujengea mahekalu uovu.Unapingana na Bible? Mungu mwenyewe atatuondoa ulimwenguni kabla ya dhiki kuu kwanini asituache Ili hao waovu waokoke kwanza?? Au kwanini alimtoa Nuhu na Lutu kabla hajaangamiza kizazi Cha wenye dhambi?
Uovu ulifika utimilifu there's is no saving Bali hukumu tu..... So unajiokoa ww na kizazi chako pekee.
So kimaandiko upo very wrong, maana unataka kupingana na mwenye dunia yake atakayewaondoa kabla ya utawala wa mpinga kristo!!
In fact hata baada ya miaka 1000 ya utawala wa Mungu hapa duniani atamruhusu shetani kudanganya 3/4 ya ulimwengu sasa kama Mungu mwenyewe anaruhusu uovu uenezwe na shetani ww ni nani uokoe huo ulimwengu? Kwamba Una uchungu kuliko atakayeruhusu dunia nzima idanganywe?
Pepo litoke kwenye TV limwingie mtu?Kwa hiyo hizo taarifa zote kwenye post ni za uongo!Lakini mimi mbona nikiangalia Disney naona ushenzi mwingi sana.Lots of satanic symbols,witchcraft,sorcery,homosexual gestures you name it.Nadhani kuna shida ya ufahamu.
Finally,
kuna alot of deliberate satanic behaviour impertation by telepathic communication to viewers hasa watoto,infact this is the most serious part of Disney.Unashangaa mtoto kapata tabia za hovyo,lakini hujui kapata wapi,kumbe kapandikiziwa mapepo na Disney.Wazazi tujitahidi kujifunza mambo,tupo very uninformed about many issues which are important to ourselves,families and friends.Telepathic communications to humans by demons and even demon possession by watching satanic cartoons or films is real.
Aisee,huo ndio ukweli.Pepo sio physical,kwa hiyo usidhani kwamba kwa kuwa wewe huwezi basi pepo nalo haliwezi,you are very misguided,linaweza.So what does this mean ukiangalia tamthilia ya ngono,pepo la ngono linakuingia nk.nk.So wakatazeni watoto wasiangalie tamthilia zenye maudhui ya ngono,violence na uovu wowote mwingine,it is dangerous for their moral values.Hizo tunaziita daraja za mapepo kuweza kupita na kumuingia mtu.What makes humanity evil:TV,the internet etc.Pepo litoke kwenye TV limwingie mtu?
😏😏😏😏
#YNWA
That's Why nikashauri maadam family Yako au ww haudhuriki then jifunze tu coexistence nao kma tu mnavyoishi na wauza uchi, wagonjwa wa ukimwi or any other thing unachoona hakifai duniani n.k.
We ni kilaza mmoja hivi usiye na akili ,Aisee,huo ndio ukweli.Pepo sio physical,kwa hiyo usidhani kwamba kwa kuwa wewe huwezi basi pepo nalo haliwezi,you are very misguided,linaweza.So what does this mean ukiangalia tamthilia ya ngono,pepo la ngono linakuingia nk.nk.So wakatazeni watoto wasiangalie tamthilia zenye maudhui ya ngono,violence na uovu wowote mwingine,it is dangerous for their moral values.Hizo tunaziita daraja za mapepo kuweza kupita na kumuingia mtu.What makes humanity evil:TV,the internet etc.
Sikio la kufa halisikii dawa,sawa.
50-50, halafu wakawaruhusu wanawake wakimbie kule Ukraine ila wakazuia wanaume wasiondokeTime will tell..... nani alijua Saudi Arabia itaruhusu concert za mziki wa rap, ama movie za wamarekani?
Wave ya capitalism (inayotaka maamuzi binafsi ya mtu yasiingiliwe na serikali whether bei, umiliki, uwekezaji n.k) vimeimeza ujamaa na sera zote za kisoshalisti (zilizotaka maamuzi yote yatoke kwa wakuu wa nchi na sio kupitia demokrasia n.k )
Ndio maana utaona kelele za mazingira, wanyama, ubaguzi wa rangi, ushoga, wanawake 50-50 zilianzia hapo.
So hoja yangu ni kwamba as long as West itaendelea kutanua ushawishi then haya mambo yatashamiri zaidi. So hao Disney utawaaonea tu
Zipo katuni nzuri tu Kwa watoto kikubwa usimamiziMkuu tunashukuru ,wanangu katuni noo
Zipo katuni nzuri tu Kwa watoto kikubwa usimamizi
Unawashwa sana mkundyuni we jamaaaa. Peleka ushoga wako huko .... Mda wote unawazaga Urusi. Qumer unatafuta bwana Kwa nguvu sanaKutoka Russia au Disney?
Unawashwa sana mkundyuni we jamaaaa. Peleka ushoga wako huko .... Mda wote unawazaga Urusi. Qumer unatafuta bwana Kwa nguvu sana
Haki za mashoga, wanawake,watu weusi zinaenda pamoja, kuna wenzako kama wewe wanaamini kumpa haki mwanamke au mtu mweusi ni kueneza ushenzi pia, usitake haki upande wako tuu angalia na wengine ( i assume wewe ni mweusi)Kiujumla Western things kuanzia Mainstream Media, Social Media, Sports and Entertainment Industry (including Movies, Music etc) lengo lao kubwa ni kueneza ushenzi wao duniani.
Hakuna zuri kwa hao watu. Wazazi tuna changamoto kubwa sana kulea zama hizi.
Mkuu kama binadamu tuna moral values ambazo zinakubalika,ila tukienda hivyo tutahalalisha kila kitu,na nadhani tukifika huko hatutakuwa binadamu tena,but worse than animals.Infact even now we are worse than animals,kwa kuwa wanyama kwa mfano hawalawitiani,lakini binadamu wanalawitiana.Shameful indeed.Haki za mashoga, wanawake,watu weusi zinaenda pamoja, kuna wenzako kama wewe wanaamini kumpa haki mwanamke au mtu mweusi ni kueneza ushenzi pia, usitake haki upande wako tuu angalia na wengine ( i assume wewe ni mweusi)
Boss maswala ya wao kulawitiana hayatuhusu ni mambo ya vyumbani kwao, na sijui kama unaelewa hao jamaa wanapigania haki gani, hivi unajua before movement yao ya kudai haki watu walikuwa wanawanyima kazi kwa sababu tuu ni mashoga? wengine walikuwa wanatukanwa mitaani na kudhihakiwa waziwazi au kunyimwa huduma kama wengine, watu weusi walikuwa wanafanyiwa hayo mambo kabla ya civil rights movements, nafikiri as human ni vizuri kuwa na decency kwa watu wengine bila kujali rangi yao au ushoga, huo ushoga watajibu kwa mungu wao sio kwetuMkuu kama binadamu tuna moral values ambazo zinakubalika.Tukienda hivyo tutahalalisha kila kitu,na nadhani tukifika huko hatutakuwa binadamu tena,but worse than animals.Infact even now we are worse than animals,kwa kuwa wanyama kwa mfano hawalawitiani,lakini binadamu wanalawitiana.Shameful indeed.