For your EYES ONLY: From Salva to Rostam

Kweli serikali ya sasa iko mifukoni mwa watu!!! Enzi za mwalimu mtu alijitapa akawekwa ndani sasa hivi hajitapi mtu ila raia tumekubali JK & Co wamewekwa mifukoni mwa RA & Co
 
Hii nayo kali. Manyerere na Muhingo sasa waseme tena bisi wao si fisadi wakati wame operate illegally. ROSEMARY MWAKITWANGE anajua mengi na atueleze kuhusu hilo la usajili. na je kwa nini alikimbia NHL?

Madame Rose tuambie!

Rose alishindwa kukubaliana na mfumo wao... asingeweza kusurvive in that mess
 


'Blackmail' also sprung up in my mind. But it seemed very subtle...the clever fox!!
 

Hapa ndipo pia tunaweza kuuona uzito wa tuzo ya Mwanamke Jasiri ya Wamarekani kwa Anne Kilango
 
mkuu haifunguki file inadai ipo damaged...msaada wadau
 

Dilungaaa
........Unakumbuka Kagoda?
 
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 111 (70 members and 41 guests)
================================================
Baba_Enock, Arnold, bantuman, BATA, BINTI SAYUNI, Bluray, Chada, chakubanga, COMRADE44, dgeouff, Dilunga, DMussa, DoubleOSeven, Faraja77, fungamesa, globarch, Great Thinker, gulwa, Halisi, Harenga, Huduma, Hussein Njovu, Ikena, Ilulu, kadushik, Kaka Mdogo, kananyayo, Kibunango, kicheruka, Kijakazi, kinyambiss, Machiavelli, Magezi, Makaayamawe, masikini, Mburahati, MC, MiratKad, MkamaP, Mkora, Mpita Njia, mtuporimtupori, mujuni2, mwana siasa, MwanaHabari, Mwanjelwa, mzeeba, Ncha, ngambo ngali, Nsololi, NTIRU, nyauba, Poetik Justice, Renegade, REOLASTON, rolemodel, Shakazulu, Skills4Ever, Tajiri Mtoto, TooGood, Tristan, Tuandamane, tzengo, urassa, Waberoya, Wakuja, Wambandwa, Yo Yo, Zanaki
=================================
 
Huu ni moto, natumai New Habari hapatoshi
 
Nakumbuka Mkapa aliwahi tumia mbinu hiyo hiyo ya kuwajaza waheshimiwa pale Bungeni na katika kuhalalisha hilo alidai kwamba anaboresha ya wabunge kwanza kisha wafanyakazi kwa sababu wao ndio wanaopitisha mishahara ya wafanyakazi.

Hadi leo wafanyakazi wamebaki na kilio cha kifaranga kinapomuomba mama nyonyo naye humwahidi kwa kumwambia KESHO! JK naye anafuata nyayo, wabunge wetu hawawezi mwajibisha Rais kwa sababu wako pale kwa maslahi yao na si wanaowawakilisha.
 
Hivi tuna uhakika gani kama ni kweli ni Salva ndie kaandika yote hayo?
 
Mimi sijaisoma kwa sababu haifunguki, lakini kwa jinsi nilivyofuatilia michango mbalimbali ya wachangiaji wakiwemo ninaowaheshimu sana, hali ni mbaya zaidi kuliko tunavyoiona katika bandiko hilo.

Kama unataka kuamini angalia jinsi serikali inavyopambana na kutisha wa juu ya kuvuja kwa "nyaraka za siri" hii nayo inaweza kuwa moja wapo ya hizo "nyaraka za siri", sijui.

Wataficha sana lakini atakuja kichaa mmoja ambaye atazianika hizo "siri" zao, siwamesema eti nyingine zinachukua miaka 20 kuharibiwa n.k, wajifunze kutoka kwa Obama na jinsi anavyowaanika walioficha uovu wao kwa kutoa memos zao.

Swali, je Tanzania tutafika huko lini? namanisha tutampata Obama wetu kabla ya miaka 20 kupita wasije ziharibu? kama kweli wanafuata huo utaratibu. Manake nimekuwa nikisikia mara file imepotea mahakamani, file imepotea Brela n.k, au ndo zinavyoondolewa/zitavyoondolewa kutoka mfumo rasmi wa kuziona.

Mungu atusaidie watanzania tuamke kutoka katika usingizi huu.

Heshima mbele Enigma
 
Baada ya habari hebu tupeni mlichokifahamu au mlichokiona na kinachoendelea au hii story inahusiana na nini haswa ili nasi tuingie mitaani kupakazia ndio mambo yanavyokwenda kuliko wengine kuonekana kupiga vigeregere kumbe awajafaamu kitu. kama kuna mtu anaweza kuweka muhtasari wa habari yote ,najua wengi mmekwenda shule na kuweza kufupisha kisa kizima kikaonekana kama unatotoa Hadithi ya paukwa pakawa.
 
huku sasa sijui tunakwenda wapi! kama ni kuumbuana sasa ndio tumefikia patamu kweli kweli! He he he he eeeeeeeeeeeee
 

Mkuu,
You really need to read the document maana its more than "kuvuja siri za serikali " -
Hii kwanza siyo siri ya serikali bali ni siri ya watu wawili kuonesha ni kwa vipi serikali inapata mamluki through urafiki - mtindo wa nikune nami nikukune.
Pia inaonyesha kuwa kuna watu very poweful nje ya serikali lakini wenye nguvu kama au kuliko serikali.Hawa wanatisha maana ndiyo vinara wa ku steer mambo mengi yanayoiyumbisha serikali na kuwafanya wananchi kuishia na hali duni.
 
Hivi tuna uhakika gani kama ni kweli ni Salva ndie kaandika yote hayo?

Uyasemayo ni kweli, lakini ukisoma mtiririko na facts, kuna ukweli wa zaidi ya asilimia 75. Sehemu kubwa ya yaliyoandikwa ni ya kweli tupu kulingana na data zilizopo. Na pia kwa michango ya wengi humu inatupeleka huko. Tusubiri hiyo 15% kama itatupa data za kinyume nyume, maana huenda Ikulu wakatoa taarifa, maana na wao wana mambo mengi mazito ya kuyatolea maelezo.

Jambo la pili, naweza kuona pia kwamba huenda hii thread ikamuokoa Salva maana kuna mahali humu kulikua na tetesi za hatima yake Ikulu, kwa hiyo kama kulikua na sababu tofauti ya kumuondoa ama kama alimaliza mkataba (kama upo) basi huenda mambo yakasimama kusubiri huu 'moto wa JF' upoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…