For your EYES ONLY: From Salva to Rostam

For your EYES ONLY: From Salva to Rostam

TAWIRE.....HAHA . Nimekumbuka Mzee Punch ...Yaani.
 
QUOTE]The following letter was written sometime in 2007 [/QUOTE]. Naona barua haina tarehe. Ilitumwa kwa posta, email, au?

Je katika zama hizi za Sc and Tech nawezaje kujiridhisha kwamba mwandishi ni Salva?

Ni kutaka kufahamu tu wakuu!
 
Duh..sijawahi kuona msomi na mtu mwenye heshima katika fani yake na jamii akijishusha na kulalamika kwa maandishi yake mwenyewe namna hii.

Rostam anawapanga hawa wasomi wetu kama mwalimu wa chekechekea anavyowapanga watoto katika somo la kuigiza. Ni aibu sana...sijui tulifikaje hapa...!!!
 
Kazi nzuri sana Inzi. Kwa ufupi, hizi paragraph tatu zinaelezea vema yote juu ya nia ya Salva kumuandikia hii barua Rostam.







Fundisho kwetu;
  1. Serikali ya JK iliingia madarakani kwa msaada mkubwa sana wa Rostam na wapambe wake. Hivyo JK hawezi kumchukulia RA hatua yoyote licha ya kelele za wa TZ wengi ikiwemo Mengi aliyeamua kujitoa mhanga.
  2. Kama wengi wa walio madarakani wameingia kwa kujuana na sio sifa za utendaji wao, au hata kama zifa wanazo, watawajibika vipi ili kuendeleza nchi badala ya kutunisha kilichowavutia kwenye utumishi wa nchi yaani vibaba vyao?
  3. Hivi ni kwa nini JK aendelee kuwa raisi kama yeye na mafisadi ni timu moja?
  4. Je bunge letu linasemaje au watasubiri mpaka nchi ifilisike au tuchinjane ndio wamchukulie hatua JK?
Kwa wale wanaotaka JK apewe miaka mingine 5 wajitokeze na kutueleza apewe kwa uzalendo upi alionao?



Thanks for noting this!

Kwa taarifa yako wote unaowaona katika serikali iliyopo madarakani wamepatiwa madaraka kwa staili hiyo brother! Ya wanawake usiseme!!

Kwa lugha ya mjini kila mtwana ana Bwana wake Including JMK . Those buggers who insulted the presida in ze utamu had a clear message japo I completely LAANI and disagree to the way they wanted to display it!

In one of my postings I had shown a simple connection! Sitarudia hapa If you are interested go back to them!

By the way down the road somebody is gonna give an account of this hata akiwa ahera!

In ancient Egypt pharaoh ruled not from God and the same to Romans they ruled the world but go to Rome today ni laana tupu!! The Mafia of Parlemo and Sicily!!

Therefore I am appealing to brother Jakaya Mrisho Kikwete what legacy are you gonna leave behind after your departure ama kuacha urais au kufa!!!

Kaushauri tutungie katiba mpya otherwise we shall see if not 2010 then 2015 kasheshe!
 
Kaka mimi sioni kwa nini JK apewe miaka mingine 5 kwani keshatuonesha kuwa yeye na Rostam ni kitu kimoja.

Tatizo ni kuwa tayari tumeshaona ngoma zikipigwa (Mzee Malecela) kuwa JK aendelee kwa miaka mingine 5 tena bila kupingwa.

Kwa alivyoboronga, sidhani kama anastahili hata zaidi ya wiki moja, ila cha kushangaza ni kuwa hakuna mbunge hata mmoja anayezungumzia kumfukuza JK kwa kushindwa kazi, ingawa kikatiba uwezo huo wanao. Hata wale wa upinzani wako kimya kulizungumzia hilo. ..........Why??
 
Tatizo ni kuwa tayari tumeshaona ngoma zikipigwa (Mzee Malecela) kuwa JK aendelee kwa miaka mingine 5 tena bila kupingwa.

Kwa alivyoboronga, sidhani kama anastahili hata zaidi ya wiki moja, ila cha kushangaza ni kuwa hakuna mbunge hata mmoja anayezungumzia kumfukuza JK kwa kushindwa kazi, ingawa kikatiba uwezo huo wanao. Hata wale wa upinzani wako kimya kulizungumzia hilo. ..........Why??

Heshima mbele mazee.
Wanajua wakisema tu kachemchem ka vijisenti kwishney anayeweza labda Dr tu wengine cjui.
Anyway hii nji hiiiiiiii. TATIZO . SHUKA BWANA SHUKA .
 
Heshima mbele mazee.
Wanajua wakisema tu kachemchem ka vijisenti kwishney anayeweza labda Dr tu wengine cjui.
Anyway hii nji hiiiiiiii. TATIZO . SHUKA BWANA SHUKA .
we sabode acha kutuvunja mabvu unajua wengine tumeamkia chai na kiporo cha ugali....
Ila natabiri ngoma ngumu kwa Vasco Dagama mwakani maana sijui atakuja na asali gani maana zooote walizokuja nazo zimeprove ni chungu.
 
Kwa hili la leo kidatu nimedatishwa sina la kuongeza kwa sasa.
 
Hii nayo kali. Manyerere na Muhingo sasa waseme tena bisi wao si fisadi wakati wame operate illegally. ROSEMARY MWAKITWANGE anajua mengi na atueleze kuhusu hilo la usajili. na je kwa nini alikimbia NHL?

Madame Rose tuambie!
 

Therefore I am appealing to brother Jakaya Mrisho Kikwete what legacy are you gonna leave behind after your departure ama kuacha urais au kufa!!!

Do they realy think about their legacies? I wish they were. JK et al should have learned from Mkapa.

Mkapa, with his intelect, would have been a big shot in one of the international organisations or a distinguished proffessor at Havard, Columbia e.t.c. But now he is hiding from everybody, even his collegues. What a shame to take to his grave.
 
Duh!

Ama kweli Rostam ana influence katika hii nchi. Mpaka inatisha ati.

Now I know kwa nini mpaka DPP na AG walitwambia kwamba, katika hili swala la ufisadi, kuna watu ukiwagusa Tanzania nchi itayumba. Ni kweli kabisa. We need another new force kupambana na ufisadi. Si kikwete.

Its a proof that politics is a dirty game..
here is a political clout cocktail recipe
:Ingredients & Method
Warning coz the cocktail can be deadly:Before you attempt this, make sure the power is well connected and you have the balls!
mix together in a large shaker the main ingredients:
cronism,corruption, abuse of power and authority,shake well
add a little boldness, continue shaking
then wait and see, if no changes in the consistency of the mixture...
add some clean blackmailing,shake even more
then the cocktail is ready for use....

N.B. You can improvise as per your need and taste
 
we WOS
umeshawahi kuionja ladha yake??? muulize Bangusilo
 
I am Speechless.....Which I, and fellow Tanzanians, should not be!
 
Yaani Salva ana kiingereza kilichopinda hivyo? Isn't he supposed to be some prominent journalist or something?
 
Yaani Salva ana kiingereza kilichopinda hivyo? Isn't he supposed to be some prominent journalist or something?

unashangaa Salva as a journalist?

Hivi ushasoma kiingereza cha Kubenea? au yule mwandish mwingine anyeishi UK?
 
mbona sijawahi kuona humu mkijadili kuhusu kiswahili kibovu??? acheni kujitia walinzi au viranja wa lugha za wenzenu wakati lugha yenu mnayo.
 
Kama hii barua ni kweli ya Rweyemamu na ilimfikia Rostam ina maana Rostam ana uwezo wa kumuunganishia kazi mtu akawe presidential spokesman, nimekoma na Rostam Aziz.
Nadhani hawakukosea waliomuita King Maker, anaweza hata kutengeneza na viking vidogovidogo.
Kudos ka-inzi
 
Kwenye hilo 'bolded' umelenga haswa. Asante
Nampongeza Enigma kwa kazi kubwa aliyoifanya na timu yake. nampongeza pia Bubu ataka kusema kwa kazi njema anayoifanya. hili ni jamvi ambalo watu wanakuja na mada mbalimbali kila moja inaumuhimu wake inategemea inaitazama katika muktadha upi.Kama mwanajamii yoyote alivyo na haki ya kutuma thread maadamu isiwe ya matusi au uzushi, Bubu anatumia uhuru huo.heshima mbele wakuu.
Naomba tusitoke kwenye mada.Kwa barua hii, it shows how powerful is RA vs how how weak is JK.
Katika ukweli, salva anaweza akanyamaza kimya asijibu upesi kwa kigezo ni mambo ya kwenye mtandao hayo. Ila, tangu sasa atajua kuwa watanzania wanajua kuwa yeye anajua na wao wanajua uovu alioufanya zaidi ya ule kwa Mzee SAS.
 
Back
Top Bottom