Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi nzuri sana Inzi. Kwa ufupi, hizi paragraph tatu zinaelezea vema yote juu ya nia ya Salva kumuandikia hii barua Rostam.
Fundisho kwetu;
Kwa wale wanaotaka JK apewe miaka mingine 5 wajitokeze na kutueleza apewe kwa uzalendo upi alionao?
- Serikali ya JK iliingia madarakani kwa msaada mkubwa sana wa Rostam na wapambe wake. Hivyo JK hawezi kumchukulia RA hatua yoyote licha ya kelele za wa TZ wengi ikiwemo Mengi aliyeamua kujitoa mhanga.
- Kama wengi wa walio madarakani wameingia kwa kujuana na sio sifa za utendaji wao, au hata kama zifa wanazo, watawajibika vipi ili kuendeleza nchi badala ya kutunisha kilichowavutia kwenye utumishi wa nchi yaani vibaba vyao?
- Hivi ni kwa nini JK aendelee kuwa raisi kama yeye na mafisadi ni timu moja?
- Je bunge letu linasemaje au watasubiri mpaka nchi ifilisike au tuchinjane ndio wamchukulie hatua JK?
Kaka mimi sioni kwa nini JK apewe miaka mingine 5 kwani keshatuonesha kuwa yeye na Rostam ni kitu kimoja.
Tatizo ni kuwa tayari tumeshaona ngoma zikipigwa (Mzee Malecela) kuwa JK aendelee kwa miaka mingine 5 tena bila kupingwa.
Kwa alivyoboronga, sidhani kama anastahili hata zaidi ya wiki moja, ila cha kushangaza ni kuwa hakuna mbunge hata mmoja anayezungumzia kumfukuza JK kwa kushindwa kazi, ingawa kikatiba uwezo huo wanao. Hata wale wa upinzani wako kimya kulizungumzia hilo. ..........Why??
we sabode acha kutuvunja mabvu unajua wengine tumeamkia chai na kiporo cha ugali....Heshima mbele mazee.
Wanajua wakisema tu kachemchem ka vijisenti kwishney anayeweza labda Dr tu wengine cjui.
Anyway hii nji hiiiiiiii. TATIZO . SHUKA BWANA SHUKA .
Therefore I am appealing to brother Jakaya Mrisho Kikwete what legacy are you gonna leave behind after your departure ama kuacha urais au kufa!!!
Duh!
Ama kweli Rostam ana influence katika hii nchi. Mpaka inatisha ati.
Now I know kwa nini mpaka DPP na AG walitwambia kwamba, katika hili swala la ufisadi, kuna watu ukiwagusa Tanzania nchi itayumba. Ni kweli kabisa. We need another new force kupambana na ufisadi. Si kikwete.
Yaani Salva ana kiingereza kilichopinda hivyo? Isn't he supposed to be some prominent journalist or something?
Nadhani hawakukosea waliomuita King Maker, anaweza hata kutengeneza na viking vidogovidogo.Kama hii barua ni kweli ya Rweyemamu na ilimfikia Rostam ina maana Rostam ana uwezo wa kumuunganishia kazi mtu akawe presidential spokesman, nimekoma na Rostam Aziz.
Nampongeza Enigma kwa kazi kubwa aliyoifanya na timu yake. nampongeza pia Bubu ataka kusema kwa kazi njema anayoifanya. hili ni jamvi ambalo watu wanakuja na mada mbalimbali kila moja inaumuhimu wake inategemea inaitazama katika muktadha upi.Kama mwanajamii yoyote alivyo na haki ya kutuma thread maadamu isiwe ya matusi au uzushi, Bubu anatumia uhuru huo.heshima mbele wakuu.Kwenye hilo 'bolded' umelenga haswa. Asante
Yaani Salva ana kiingereza kilichopinda hivyo? Isn't he supposed to be some prominent journalist or something?
unashangaa Salva as a journalist?
Hivi ushasoma kiingereza cha Kubenea? au yule mwandish mwingine anyeishi UK?