For your EYES ONLY: From Salva to Rostam

For your EYES ONLY: From Salva to Rostam

Jamani mimi naomba muipost hiyo barua hapa ili kila mtu aione, maana mimi ni mmoja wapo ambao siwezi kuifungua.
Msaada kwenye tuta.

kARIBU KWENYE FORUM

Je waweza kutuelezea briefly jinsi ulivyoipata hii website...
 
kaazi kwerikweri!! natamani nipige story na mr. president!!!
 
Adobe wanasema imekuwa DAMAGED na haiwezi kuwa REPAIRED. Tusaidieni nasi wengine tuione.
 
Nimeisoma at last.
Kama ni ukweli ni noooma.
Poor us Tanzanians, maneno mengi no actions they are stepping all over us.
 
I have been reading Jamii for over a year now, but in the past whenever i tried to register i failed, zari mwanangu leo imekubali.
You will see alot of me.
Hope we will make a difference.
 
Nackia kufakufa nimekumbuka wakati fulani akina RA na crew yake wakimtuhumu Jk kuwa ni saawa na mtu aliyeokotwa njiani akapewa lifti akafikishwa mjini na baada ya kufika akawatosa waliomtoa porini na kuwakimbilia walomwacha msituni katika hili walikuwa wanamlaumu bure maana inaonyesha bado wako pamoja kama RA anaweza kumpangia rais amteue nani atashindwaje kupanga nani awe rais? Naona utawala huu utakuwa ni kumbukumbu mbaya zaidi kwa vizazi vijavyo milele MUNGU atuhurumie tuliombee taifa letu wazalendo
 
"Even if you found the idea of helping us become independent unattractive and costly, you could at least have looked for a way to accommodate us in some positions within the new Government whose struggle to get into power we so painfully supported and for so long."
Na kweli baada ya malalamiko haya Salva akapewa kazi Ikulu.
Je Kiwete aweza kumshughulikia RA fisadi?
Wadanganyika tuna kesi ya kujibu kwa Mungu kama tutaendela kiweka CCM madarakani!!
 
Mkuu sehemu zetu tunafanya. Na ndio maana tumeanza kumwombea Mkuu awamu nyingine hadi 2015. Hata hivyo hatuna hakika nini kitaendelea baada ya hapo. Pia hata hatujui akimaliza ngwe yake atakimbilia wapi kwani mwenzie Ben anasota kwa Pressure inayopanda na kushuka kila baada ya dakika 10. Lakini tutajaribu kutafuta mkakati mwingine. Itabidi tuige mfano wa Museni ili JK wetu aendeleze mazuri anayolifanyia taifa letu. Kelele za mlangoni tu.... hatuna muda wa kusumbuana na Ze utamu wanaomkosea adabu kipenzi na mkombozi wa Watanzania (Musa wetu)!

Kumbuka yule Musa wao hakuwaingiza kwenye nchi ya ahadi!
 
duh yaani jamaa, kalamba ma "Thanks hayo", nadhani hii imevunja rekodi hapa JF
 
Hivi ni wangapi hapa TZ wanaoingia kwenye ofisi za serikali kwa mtindo huu! Heri sisi wa nsesi tuvuke mto Songwe twende kwa mutharika maana kwa wtu wa kiwango cha Salva kulamba viatru vya watu wengine kwa ajili ya tumbo tu ni aibu kwa taaluma. Inatia kichefuchefu.

Na kama ulishawahi zungumza na Salva angalau mara moja mbili utakubali moja kwa moja kwamba hiyo barua kaandika yeye, lafudhi yake unaipata sawa sawa! Tanzania tumeisha, tunahitaji mabadiliko, heri aingie hata kichaa mradi kuwe na mabadiliko yasiyoihusisha CCM.
 
Looh! salale! kuna watu wanapigiwa kura kwenda Ikulu wengine WANADAI kuingia Ikulu kupitia kwa RA.
 
HIvi mnataka sifa au?

The Following 132 Users Say Thank You to Enigma For This Useful Post:

911 (Yesterday), Alpha (Yesterday), Aluta (Yesterday), AmaniGK (Today), Baba Ubaya (Yesterday), BabaDesi (Yesterday), Baba_Enock (Yesterday), Bi Tarabushi (Yesterday), Bi. Senti 50 (Yesterday), bigtom (Yesterday), Bint (Yesterday), bob (Yesterday), Brutus (Today), Bubu Ataka Kusema (Yesterday), Bulesi (Yesterday), Burn (Yesterday), Chief (Yesterday), Companero (Today), COMRADE44 (Yesterday), Counterpunch (Yesterday), Dan M (Yesterday), Dark City (Yesterday), Degauche2008 (Today), Dilunga (Yesterday), dmaujanja1 (Today), Eeka Mangi (Yesterday), FDR.Jr (Yesterday), Game Theory (Yesterday), Ghwakukajha (Yesterday), globarch (Yesterday), Haki.tupu (Yesterday), Halisi (Yesterday), Hofstede (Yesterday), hondohond (Today), ibambasi (Yesterday), Interested Observer (Yesterday), Invisible (Yesterday), isayamwita (Today), Jafar (Yesterday), Jasusi (Yesterday), kamakabuzi (Today), kela72 (Yesterday), Kidatu (Yesterday), Kigoma (Today), Kilinzibar (Yesterday), Kinyamana (Yesterday), Kipunguni (Today), Kissa Eliakim (Today), kiteitei (Yesterday), Kizimkazimkuu (Today), Komavu (Yesterday), Kuntakinte (Yesterday), LazyDog (Yesterday), lemunyake (Yesterday), limbani (Yesterday), Lole Gwakisa (Today), Lusajo (Today), Lyampinga (Yesterday), Maamuma (Yesterday), Maane (Yesterday), macho_mdiliko (Yesterday), Mafuchila (Yesterday), Mag3 (Yesterday), Magezi (Yesterday), Makaayamawe (Yesterday), Mama Lao (Yesterday), Manta (Yesterday), Masaki (Yesterday), Maskini Mimi (Yesterday), matuse (Today), Mbalamwezi (Yesterday), MC (Yesterday), Mchaga (Yesterday), Mdondoaji (Yesterday), Mdumange (Today), Mfamaji (Yesterday), Mfwatiliaji (Yesterday), MissKitim (Today), Mkaguzi (Today), Mkandara (Yesterday), Mlalahoi (Yesterday), Mnyamahodzo (Yesterday), moelex23 (Yesterday), Morani75 (Yesterday), Mpendanchi-2 (Yesterday), Mpita Njia (Yesterday), msabato masalia (Yesterday), mtimti (Yesterday), Mtindiowaubongo (Yesterday), mTz (Yesterday), Mzalendohalisi (Yesterday), Mzawa Halisi (Yesterday), Mzee Mwanakijiji (Yesterday), mzeeba (Yesterday), Njimba Nsalilwe (Yesterday), Nono (Yesterday), NTIRU (Yesterday), Nurujamii (Yesterday), nyauba (Yesterday), Nziku (Yesterday), Ogah (Yesterday), Outlier (Yesterday), PainKiller (Yesterday), Pasco (Yesterday), Realist (Yesterday), rmashauri (Yesterday), rolemodel (Yesterday), Sabode (Yesterday), selemala (Yesterday), Selous (Yesterday), semilong (Yesterday), shaban (Today), shalom (Yesterday), Shedafa (Yesterday), SMU (Yesterday), Spear (Yesterday), SpinDoctor (Yesterday), Superman (Yesterday), Susuviri (Today), Tina (Today), Tristan (Yesterday), Tshala (Today), tzengo (Yesterday), urithiwetu (Yesterday), Waberoya (Yesterday), wembemkali (Yesterday), WomenofSubstanc (Yesterday), Yebo Yebo (Yesterday), Yo Yo (Yesterday), Zak Malang (Yesterday), Zanaki (Yesterday), Zed (Yesterday)

Nadhani hii inavunja record
 
For Your Eyes Only,
Written in the Strictest of Confidence,
Communication between Honest Friends

[FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman]
Surely, you will excuse the frustration that has led to this communication, and appreciate my openness and sincerity in presenting it to you. These are, in my personal view, some issues of very serious concern in the operations of New HCL, and beyond:​
[/FONT]
[/FONT]
 
Last edited by a moderator:
Watanzania ni wapole mno.

Amani na Utulivu vimetuponza, Eti ni bora mtu ale mlo mmoja kwa siku lakini kuwe na amani.

Amani inaanzia wapi? Kama mtu anakula mlo mmoja, anashindwa kulipa ada ya shule, hapati huduma za afya, KWeli amani ipo ndani ya moyo wake.

Sasa HAwa viongozi wanasubiri Bomu lipasuke, then wao wakimbilie nje ya nje walikojenga mahekalu.

Heri yao
 
Makombora dizaini hii yalikuwa yanrushwa na Mugongo Mugongo! sijui aliishia wapi au ndio amekuja na style mpya?
 
Back
Top Bottom