Forbes: Orodha ya wanamuziki 10 wenye pesa Afrika 2022

Hii ni orodha ya wanamuziki 10 bora 20022 au ni wanamuziki wenye fedha afrika!!

Rekebisha kichwa cha habari. Naona umezungumzia fedha na si ubora wao, ungeleta kazi walizofanya, jinsi zilivyopokelewa na wadau wa muziki, tuzo kwwa mwaka husika na kadhalika.
 
Chanzo cha hii habari ni wapi?
Weka link.
Ksh. ??!...hii list itakuwa ya mchongo.
Nyang'au huwa hawaoni lolote jema huku bongo.
Hapo kwenye ksh ndo kaniacha Hoi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Youssou N'dour legend napenda sana muziki wao watu wa Senegal, Mali na Gambia. The likes of marhum Farka Toure, Diabate, Sona Jobarteh n.k
 
Huyo Akon angeondolewa hapo. Amekosa uhalisia wa kuwepo kwenye list. Hata Yousu Ndour naye angeondolewa tu maana miaka yote ni yeye na hakuna dalili za kuachia hiyo namba. Waliobaki wapo kihalali. Nitakuja na kumi bora ya wasanii wanaodhaniwa kuwa na hela huku kiuhalisia hawana utajiri unaotajwa kwamba wanamiliki.
 
Domokaya chaliiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Twaisubiria list mkuu
 
Hyo hedicopta ya kaka haithaminishwi mbona angewazidi wengi tuu hapo?
 
simba aka diamond hatakuwa kwenye list ya wanyama matajiri .
maana mama katangaza sana royal tower mapori mpka mengine wamepewa warabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…