Pamoja na kwamba force account yaweza kuwa kuwa na dosari ktk baadhi ya maeneo, haiondoi ukweli kuwa utaratibu huu umekuwa na mafanikio ukilinganisha na utaratibu wa awali maana hata nikiangalia majengo yaliyojengwa kipindi cha nyuma kabla ya force account ni mabovu tena kwa gharama kubwa Sana.
Dosari ktk force account ipo kwa wahandisi wa wilaya/ manispaa.
Wengi wao hawatoi ushirikiano wa kitaalam na usimamizi kwa mafundi.
Mradi ukielekezwa sehemu wahandisi wengi wa manispaa/wilaya wanashindwa kwenda hata site, na pia hata kutoa michoro inayoendana na site. Zaidi ni kukopi na kupaste na keisha kukaa tu.