Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Sasa hata Kipanya na wananchi wameanza kuielewa Force Account na madudu yake. Serikali ifanye Technical Audit kwa hii miradi kabla haijabomoka yenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha...ni Kazi kweli kweliView attachment 2400177
Sasa hata Kipanya na wananchi wameanza kuielewa Force Account na madudu yake.
Serikali ifanye Technical Audit kwa hii miradi kabla haijabomoka yenyewe.
Una tatizo la wanasiasa weni.Pamoja na kwamba force account yaweza kuwa kuwa na dosari ktk baadhi ya maeneo, haiondoi ukweli kuwa utaratibu huu umekuwa...