Ford ndio imeuza bandari, ford ndio inateka watu na kuua, ford ndio inabaka na kulawiti watu.
- Ford Foundation ilimpa Fer. Kitima hela akahonga viongozi wa dini laki tano kila siku kwenye semina za elimu ya uraia mwaka 2020;
- Ford Foundation inampa hela Maria Sarungi kueneza uzushi kwenye mitandao;
- Ford Foundation imelalamikiwa Kenya na rais Ruto kwa kuandaa maandamano ya GEN-Z
- ......... ONGEZEA
Huu ni ujinga kweli sababu hujaeleza chanza cha hii taarifa yako.

[emoji1787][emoji1787]4. FORD imepanga kuwahamisha Wamasai Ngorongoro.
5. FORD waliwapiga viongozi wa Chadema kule Mbeya.
6. FORD imepandisha tozo za miamala ya simu na umeme.
7. FORD...
[emoji1787][emoji1787]Enzi ya CHADEMA kuwa JF na JF kuwa CHADEMA kwani zimerudi tena? Mwambie afute
Ni inajihusisha na nini io ford foundation
- Ford Foundation ilimpa Fr. Kitima hela akahonga viongozi wa dini laki tano kila siku kwenye semina za elimu ya uraia mwaka 2020;
- Ford Foundation inampa hela Maria Sarungi kueneza uzushi kwenye mitandao;
- Ford Foundation imelalamikiwa Kenya na rais Ruto kwa kuandaa maandamano ya GEN-Z
- ......... ONGEZEA
The Ford Foundation is an American private foundation with the stated goal of advancing human welfare. Created in 1936 by Edsel Ford and his father Henry Ford, it was originally funded by a $25,000 gift from Edsel Ford.Ni inajihusisha na nini io ford foundation
Afute huo ujinga ulionadikaEnzi ya CHADEMA kuwa JF na JF kuwa CHADEMA kwani zimerudi tena? Mwambie afute