FORD FOUNDATIONISM OF AFRICA

FORD FOUNDATIONISM OF AFRICA

  1. Ford Foundation ilimpa Fr. Kitima hela akahonga viongozi wa dini laki tano kila siku kwenye semina za elimu ya uraia mwaka 2020;
  2. Ford Foundation inampa hela Maria Sarungi kueneza uzushi kwenye mitandao;
  3. Ford Foundation imelalamikiwa Kenya na rais Ruto kwa kuandaa maandamano ya GEN-Z
  4. ......... ONGEZEA
Ford ndio imeleta DP world, ford ndio hao wanaolipa askari na wanajeshi mishahara kidogo, ford ndio haohao wanaiba kura kwenye uchaguzi, ford ndio hao hao nafasi za ukuu wa wilaya, ukurugenzi wanateua watoto wa viongozi wenzao, ford ndio hao wameuza madini ya uchimbaji bila faida, ford ndio hao wanazunguka dunia nzima kuomba misaada wakati wana rasilimali kibao, ford ndio hao hao ambao wanakata umeme, ford ndio haohao hawamalizi barabara za mijini na vijijini, ford ndio haohao ambao kila ripoti ya CAG wamefisadi matrilion ya mapesa ya wananchi, hawa ford wabaya sana
 
Elimu ya Uraia kwa Wananchi ina ubaya gani?! Mbona ninyi CCM mnapenda Wananchi wawe ni Mambumbumbu wasijue HAKI zao?!

Ford Foundation kwenye hilo wako sahihi kabisa.

Mbona CCM inatumia muda mwingi na fedha nyingi kutangaza Propaganda zake?!
 
Ford ndio imeleta DP world, ford ndio hao wanaolipa askari na wanajeshi mishahara kidogo, ford ndio haohao wanaiba kura kwenye uchaguzi, ford ndio hao hao nafasi za ukuu wa wilaya, ukurugenzi wanateua watoto wa viongozi wenzao, ford ndio hao wameuza madini ya uchimbaji bila faida, ford ndio hao wanazunguka dunia nzima kuomba misaada wakati wana rasilimali kibao, ford ndio hao hao ambao wanakata umeme, ford ndio haohao hawamalizi barabara za mijini na vijijini, ford ndio haohao ambao kila ripoti ya CAG wamefisadi matrilion ya mapesa ya wananchi, hawa ford wabaya sana
Akikujibu niite mbwa.
 
  1. Ford Foundation ilimpa Fr. Kitima hela akahonga viongozi wa dini laki tano kila siku kwenye semina za elimu ya uraia mwaka 2020;
  2. Ford Foundation inampa hela Maria Sarungi kueneza uzushi kwenye mitandao;
  3. Ford Foundation imelalamikiwa Kenya na rais Ruto kwa kuandaa maandamano ya GEN-Z
  4. ......... ONGEZEA
Interesting, but ndugu mtoa post una ushahidi nazo? Some sort of evidence hata risiti za malipo ya hao watu?
 
The Ford Foundation is an American private foundation with the stated goal of advancing human welfare. Created in 1936 by Edsel Ford and his father Henry Ford, it was originally funded by a $25,000 gift from Edsel Ford.
Waoh Excellent
 
Back
Top Bottom