Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Wadau nahitaji toka kwenu kupata hii figure ya sales niweze kutengeneza forecasted financial statement. Inahusiana na soko la sembe na pato lake kwa mwaka katika SMEs. Ninaanzia hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia competitive advantages zako, study competitors wako japo wachache wanaotoa hizo products, estimates demand then hiyo ifanye iwe sales yako. Kisha manipulate growth factor yako, hapo ndio utakuwa na forecast. Ila ninashaka km baadhi ya maeneo kwenye b'plan yako sawa maana usingehangaika na hapo.Wadau nahitaji toka kwenu kupata hii figure ya sales niweze kutengeneza forecasted financial statement. Inahusiana na soko la sembe na pato lake kwa mwaka katika SMEs. Ninaanzia hapo
Angalia competitive advantages zako, study competitors wako japo wachache wanaotoa hizo products, estimates demand then hiyo ifanye iwe sales yako. Kisha manipulate growth factor yako, hapo ndio utakuwa na forecast. Ila ninashaka km baadhi ya maeneo kwenye b'plan yako sawa maana usingehangaika na hapo.
samahani unatarajia kuomba overdraft au term loan
Nakushauri utafute wataalamu wakusaidie kukufanyia hiyo forecast naomba tuwasiliane 0755394701 mimi ni mshauri wa biashara hizo ni kazi ninazozifanya kila siku.