Forecasted sales: msaada

Forecasted sales: msaada

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Wadau nahitaji toka kwenu kupata hii figure ya sales niweze kutengeneza forecasted financial statement. Inahusiana na soko la sembe na pato lake kwa mwaka katika SMEs. Ninaanzia hapo
 
Angalia competitive advantages zako, study competitors wako japo wachache wanaotoa hizo products, estimates demand then hiyo ifanye iwe sales yako. Kisha manipulate growth factor yako, hapo ndio utakuwa na forecast. Ila ninashaka km baadhi ya maeneo kwenye b'plan yako sawa maana usingehangaika na hapo.
 
Nakushauri utafute wataalamu wakusaidie kukufanyia hiyo forecast naomba tuwasiliane 0755394701 mimi ni mshauri wa biashara hizo ni kazi ninazozifanya kila siku.
 
niko very systematic sema nahitaji na mchango wa huku pia. Thx
 
Nakushauri utafute wataalamu wakusaidie kukufanyia hiyo forecast naomba tuwasiliane 0755394701 mimi ni mshauri wa biashara hizo ni kazi ninazozifanya kila siku.

nitatembelea chifu ila kwa sasa nahitaji info tu. Kutafutana itakuwa vyema muda ukifika
 
Back
Top Bottom