Foreign affairs minster spitting mad

Foreign affairs minster spitting mad

hatimaye yule afisa ubalozi wa Canada karudishwa kwao kwa kosa la kuidhalilisha Tanzania na wananchi wake, kwa kiasi fulani mi naona haki bado haijatendeka mana hii ni ukiukwaji wa haki za binadamu na alistahili aadhibiwe kimahakama.

Kama bado hajarudishwa inatakiwa apelekwe SEGEREA au KEKO akanyee kwenye SADOLINE/ndoo wakati akisubiri matayarisho ya safari yake!!
 
Naona serikali imeonelea wamrudishe ili wasije wakanyimwa misaada kwa siku za usoni...

Afisa ubalozi hana kinga yeyote ile anapokuwa anafanya criminal act ana anaweza kushtakiwa kama common crimal yeyote yule...

Atakuwa tu na kinga endapo yale aliyoyafanya, aliyafanya kwa niaba ya serikale yake iliyomtuma, na siamini kwamba Canada walimtuma aje kuwatemea mate Trafic au mwandishi wa habari...

Bahati yake tu yupo bongo ndo maana anapewa dhamana na hatimaye kurudishwa kwao.. Hebu Mbogo amteemee mate Mcanada... shughuli yake utaisikia... vipi kama mate hayo yalimwambukiza mtu maladhi... waathirika watafidiwa vipi... Inabidi ashakiwe na serikali ya Canada imlipie fidia kitu ambacho sidhani kama waCanada watakikubali maana watasema hawakumtuma kwenda kumtemea mtu mate...

Je una uhakika na hichi ulichoandika (black).

Haa mambo sio mageni kutokea Duniani.

Ngoja nikupe mfano mmoja ulitokea wakati nipo UK. Military attachee wa Tanzania (jina nalihifadhi) alialikwa kwenye party. Alikwenda kisha alikunywa sana pombe kisha baada ya kumalizika party alichukua gari lake kurudi nyumbani kwake. Kufika kwenye traffic light nyekundu zilimsimamisha na alisimama baada ya hapo aliuchapa usingizi pale pale na kusababisha foleni. Polisi walikuja walimchukua na gari lake .

Tunajua hilo ni kosa kuendesha gari ukiwa umelewa. sasa alipotaka kushitakiwa , Serikali ya TZ ilikataa kumuondolea kinga ya kibalozi na alirudishwa tanzania na kushitakiwa kwa sheria za Tanzania.

Sasa kwa upande wa afisa ubalozi atashitakiwa kwa sheria za canada na haki itatendeka kwa walioathirika watapata fidia zao na lazima Serikali ya Canada kupitia balozi wao itaomba radhi kwa waathirika na watanzania.

ndio maana mpaka sasa balozi wa Canada hajasema lolote anasubiri haki itendeke na akipata judgement tu atatoa tamko.

balozi wetu kule atapewa judgement.
 
hatimaye yule afisa ubalozi wa Canada karudishwa kwao kwa kosa la kuidhalilisha Tanzania na wananchi wake, kwa kiasi fulani mi naona haki bado haijatendeka mana hii ni ukiukwaji wa haki za binadamu na alistahili aadhibiwe kimahakama.

Please do not mislead the public! Huyu hajarudishwa kwao bado, ila Balozi kasema ATARUDISHWA kwao, which means on a later date, na hatujui ni lini, inaweza kuwa hata baada ya mwaka!
Your statement is as if tayari karudishwa, which is not true!
 
He/she has to go back to her home immediately, thats where she belongs, with those shameful behaviors...Nadhani hata kwao atakuwa amejishushia sana heshima, na ajira yake huenda ikawa matatan i!...Poor him/her.

Trial by media then for you?
 
Naona serikali imeonelea wamrudishe ili wasije wakanyimwa misaada kwa siku za usoni...

Afisa ubalozi hana kinga yeyote ile anapokuwa anafanya criminal act ana anaweza kushtakiwa kama common crimal yeyote yule...

Atakuwa tu na kinga endapo yale aliyoyafanya, aliyafanya kwa niaba ya serikale yake iliyomtuma, na siamini kwamba Canada walimtuma aje kuwatemea mate Trafic au mwandishi wa habari...

Bahati yake tu yupo bongo ndo maana anapewa dhamana na hatimaye kurudishwa kwao.. Hebu Mbogo amteemee mate Mcanada... shughuli yake utaisikia... vipi kama mate hayo yalimwambukiza mtu maladhi... waathirika watafidiwa vipi... Inabidi ashakiwe na serikali ya Canada imlipie fidia kitu ambacho sidhani kama waCanada watakikubali maana watasema hawakumtuma kwenda kumtemea mtu mate...

Sifikiri kwamba hii ni kweli.

Kuna mifano mingi ya diplomats walio commit criminal acts waka invoke diplomatic immunity.

Most recently mfanyabiashara tapeli maarufu wa Uganda Michael Ezra alishikwa na kesi ya kutoa a bounced check, a criminal offense in Kenya, na alikuwa anataka kukamatwa lakini ali produce diplomatic passport ya Uganda ambayo amepewa na Museveni kama ahsante kwa kuisaidia timu ya taifa "The Cranes" pamoja na madili yao mengine bila shaka.

Ezra ali cite diplomatic immunity, wakenya wakamuachia.

Angalia hii story ya BBC wanasema wazi kabisa kwamba the diplomat was freed due to diplomatic immunity.

http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/8408589.stm
 
Membe stated the alleged act of the Canadian diplomat was the highest form of humiliation by a country propagating democracy, good governance and human rights.

How were his actions a form of humiliation by a country? Yes he's a diplomat and what he allegedly did was unbecoming but that doesn't mean the whole country should be condemned. Come on now
 
How were his actions a form of humiliation by a country? Yes he's a diplomat and what he allegedly did was unbecoming but that doesn't mean the whole country should be condemned. Come on now

J,

Muandishi mwenyewe aliyeandika ana matatizo ya kujieleza.

I believe Membe can be excused (in principle) kusema - if at all hicho ndicho alichosema, magazeti yetu tunayajua wenyewe- kwamba hiki ni kitendo cha aibu (humiliation? duh!) kwa Canada.

In principle afisa ubalozi anawakilisha nchi, na nchi inatakiwa kuwa screen hawa watu vizuri sana kuhakikisha wanaleta watu walio representative wa Wa Canada, kwa kutuletea huyu punguani wanatuonyesha canada kuna mapunguani wengi wengine wanapenya mpaka kwenye foreign service yao. Kwa nchi yenye resources kama Canada, hii si aibu kwa mtu mmoja tu, ni aibu kwa foreign service yote ya Canada na nchi nzima. Ukishakuwa Civil Servant unatakiwa kuwa na staha fulani, haijalishi kama ni mwalimu au rais, ukiwa foreign service ndiyo kabisaaaa, kwa sababu unaenda kuuza jina la nchi na kuwa represent watu huko.

Mimi nisichoelewa hapa ni kwa nini Membe anaongelea "allegations"? Ina maana hawajapata hata ka ripoti fulani ka kutoa a more concrete picture kuliko "allegations"? Ina maana serikali haijaweza ku file a formal complain with the Canadian government? Kwa nini? Kama huna facts, huwezi kuongelea issue, ukiongelea issue maana yake una full facts.Hii habari ya waziri mzima kuongelea allegations ni aibu, kesho ikijulikana allegations za uongo, na yeye kashaanza kuizodoa serikali ya Canada atajisikiaje? Katika international relations hakuna hypoteticals, ndiyo maana kuna washua wengine wanakwambia kabisa "no comments on hypothetical questions"

Tunajua huyu ni diplomat na hawezi kupelekwa mahakamani anakoweza kushtakiwa, lakini Waziri Mzima kuongelea mere allegations kwangu naona ni kama wanataka kukaa on the fence.

Fanya uchunguzi, toa conclusion na ushahidi, toa tamko, jamaa hawezi kushtakiwa kutokana na diplomatic immunity lakini kamtemea mtu mate na Tanzania haiwezi kukubali upuuzi huu.

Au polisi wetu alikosea, jamaa hakumtemea mtu mate.

Hizi habari za Waziri Mzima kutoa statement yenye repercussions za international relations based on allegation inatufanya tuonekane hamnazo kabisa, na wengine wataanza kuona hata kama kamtemea mate mtu labda alikuwa justified, kama waziri anasema hivi huyo polisi atakuwaje?
 
Naona serikali imeonelea wamrudishe ili wasije wakanyimwa misaada kwa siku za usoni...

Afisa ubalozi hana kinga yeyote ile anapokuwa anafanya criminal act ana anaweza kushtakiwa kama common crimal yeyote yule...

Atakuwa tu na kinga endapo yale aliyoyafanya, aliyafanya kwa niaba ya serikale yake iliyomtuma, na siamini kwamba Canada walimtuma aje kuwatemea mate Trafic au mwandishi wa habari...

Bahati yake tu yupo bongo ndo maana anapewa dhamana na hatimaye kurudishwa kwao.. Hebu Mbogo amteemee mate Mcanada... shughuli yake utaisikia... vipi kama mate hayo yalimwambukiza mtu maladhi... waathirika watafidiwa vipi... Inabidi ashakiwe na serikali ya Canada imlipie fidia kitu ambacho sidhani kama waCanada watakikubali maana watasema hawakumtuma kwenda kumtemea mtu mate...

Na doubt na unachsema kuhusu immunity?? Nijuavyo mimi diplomats wote wankuwa na immunity unless serikali yao iwaondolee ndiyo wanaweza shitakiwa.

Kuhusu hili kosa pamoja na kwamba linauma lakini si la kumpeleka mtu segerea au ukonga. Si wote tunakumbuka mchezaji Diof wa Blackbarn alifanya kosa kama hilo England, kama lingekuwa ni la kupeleka lupango I sure wazungu wasingemuachia.
 
Ni hili ni kosa la udhalilishaji au shambulio la aibu, linaingia chini ya civil law/procedure adhabu yake ni fidia.

Kwa vile aliyetenda ni mwanabalozi, udhalilishaji huo sio tuu kwa wahusika, bali amewadhalilisha Watanzania na nchi kwa ujumla na serikali ya Canada inatakiwa kuwajibika in full kama mtoto under 14 akitenda kosa la civil, mzazi wake anawajibika in full hata kama hakumtuma.

Trafiki na Jerry wanafursa ya kujipatia donge nono, serikali inawajibika kuwangarimia mwanasheria mzuri wa private international law, na watajivutia donge nono.

Kabla ya suala hili kufika mbali, Trafick na Jerry, wataitwa Canada, watapokewa na kutembezwa kama wafalme, wataombwa msamaha na mhusika, watapigwa vijisenti, watasaini paper wamesamehe na sinema itaishia hapo.
 
J,

Muandishi mwenyewe aliyeandika ana matatizo ya kujieleza.

I believe Membe can be excused (in principle) kusema - if at all hicho ndicho alichosema, magazeti yetu tunayajua wenyewe- kwamba hiki ni kitendo cha aibu (humiliation? duh!)

But do you think it is appropriate for him (Membe) to say (if at all he said)what he said considering that he is our top diplomat? He condemned the whole country, Canadian government based on some allegedly unbecoming actions of what I think to be a junior (or maybe senior or mid-level) staff member of the Embassy. I think he should have addressed the actions of the person (if at all he had to) than drag and condemn the whole Canadian government.
 
Ni hili ni kosa la udhalilishaji au shambulio la aibu, linaingia chini ya civil law/procedure adhabu yake ni fidia.

Kwa vile aliyetenda ni mwanabalozi, udhalilishaji huo sio tuu kwa wahusika, bali amewadhalilisha Watanzania na nchi kwa ujumla na serikali ya Canada inatakiwa kuwajibika in full kama mtoto under 14 akitenda kosa la civil, mzazi wake anawajibika in full hata kama hakumtuma.

Trafiki na Jerry wanafursa ya kujipatia donge nono, serikali inawajibika kuwangarimia mwanasheria mzuri wa private international law, na watajivutia donge nono.

Kabla ya suala hili kufika mbali, Trafick na Jerry, wataitwa Canada, watapokewa na kutembezwa kama wafalme, wataombwa msamaha na mhusika, watapigwa vijisenti, watasaini paper wamesamehe na sinema itaishia hapo.

Kama kuna wanasheria wa kuweza ku negotiate hilo, kuingia katika international arena of law, kutafuta ma precedents, ku establish kesi isikilizwe under which jurisdiction etc.

Basically hapa ni kui sue serikali ya Canada under Canadian jurisdiction using Canadian lawyers, if at all that is possible under Canadian law. Jambo amabalo halitakuwa rahisi kwa sababu ya PR ya hii kesi, ila kama kuna ma lawyers wa kimarekani walimtetea Saddam Hussein sioni kwa nini hili lishindikane.Lawyers wetu hawawezi kufanya kitu hapa kwa sababu kuna suala la diplomatic immunity ambalo ni gumu sana, kesi inatakiwa kuwa kwa nini serikali ya Canada imempa kichaa rungu, negligence on the part of the Canadian government, which is very hard to prove unless huyu bwana ana historia uya mambo ya ajabu ajabu na wamemlea mpaka analetwa Tanzania.
 
But do you think it is appropriate for him (Membe) to say (if at all he said)what he said considering that he is our top diplomat? He condemned the whole country, Canadian government based on some allegedly unbecoming actions of what I think to be a junior (or maybe senior or mid-level) staff member of the Embassy. I think he should have addressed the actions of the person (if at all he had to) than drag and condemn the whole Canadian government.

Just thinking, "Worthy of Corruption to our Police"
icon6.gif
 
Foreign Affairs and International Cooperation minister Bernard Membe has expressed his government’s displeasure at the conduct of Canadian diplomat Jean Touchette whom allegedly spat on a traffic policeman and a journalist this week in Dar es Salaam.

The allegation is made in IPP Media’s The Guardian a media house with a propensity for allegations with Reginald Mengi (IPP Media’s CEO) recently accusing (without supporting evidence) various prominent businessmen in Tanzania, of acts of grand corruption.

Membe stated the alleged act of the Canadian diplomat was the highest form of humiliation by a country propagating democracy, good governance and human rights.

In a survey commissioned by the Kenyan Division of Transparency International (July 2009) the Tanzanian police were ranked the second most corrupt institution in East Africa with a 62.2% corruption level. Justice is bought and paid for in Tanzania. Public prosecutors openly tout their services to defendants able to afford a ‘not guilty’ judgement on the day of trial and the penal code is mostly ignored and seldom understood by the police. The police, particularly in the lower ranks know or care nothing of the penal code or the required procedures for arrest. Human rights are brutally denied on a daily basis resulting in people in prison for years for crimes they did not commit or know nothing about.

No civilized person would deny that if true, the conduct of the Canadian diplomat is utterly reprehensible but let's get real!!

Hii habari ya kizushi kweli... Mengi anhusika vipi na hili suala, na je kitendo chake cha kuwashutumu akina Manji etal kuwa mafisadi kinahusiana vipi na huyu afisa wa ubalozi wa Canada???

Je suala la polisi wa Tanzania kuwa ranked the second most corrupt institution kunampa mtu wa ubalozini ubavu wa kutemea polisi mate??

Hii habari inahang....anyway hata source haina. Seems like muandishi ana malengo binafsi.
 
ENVOY TOSED OUT OF TANZANIA
·While Canadians are ashamed of the envoy, Torontonian Tanzanians hold him as their hero for the year 2009
·The whole of Tanzania should be inundated in spit
·Tanzanians should learn from this and be ashamed of their leaders!
Toronto, Canada.
A Wagagagigigkoko journalist accompanied Jean Touchatte – the Canadian envoy who spat on a traffic cop in Tanzania on Wednesday, from Dar Es Salaam to Toronto, Canada, via The Hague by KLM, and on the way had the opportunity to interview him – an opportunity that no other journalist in the country had ever had without being spat on – not even Jerry Muro of TBC.
"We have all learned with shock and dismay the news that you spat on a police cop in Dar Es Salaam. This was a horrible act to be done by a diplomat and must be condemned in all possible terms by all Canadians irrespective of the circumstances that led you to spit on that cop. What could be the reasons of your abominable act Mr Jean"?
"Hahahahahahhahahahaha!!!", Jean laughed continuously, as if he was not concerned that he was expelled from Tanzania and that he might have lost his diplomatic job for ever.
"Thank you very much my friend for giving me the opportunity to explain myself – an opportunity that even your Police Head Office in Dar Es Salaam where I was held for few hours on Wednesday never offered to me. I have worked as a Personal Secretary to our High Commissioner in Dar Es Salaam for more than 5 years now. In these 5 years I have seen many Canadian companies coming to Tanzania to rip you guys off without you saying a thing", Jean continued, and added further that, "We all know that Tanzania is one of the richest countries not only in Africa but in the whole world – richer than Canada. But, it is also the poorest country in the World. We, Canadians, came to Dar Es Salaam, not because we want to serve you better, but because we know that you are a rich country. In fact, before, the High Commission in Nairobi used to serve Tanzania also, but after we realized how rich your country was, we decided to come over to this beautiful country so that we can loot the riches easily. As you already know that, we Canadians have an affinity for gold and for natural resources", lamented Jean.
"Now, coming to your question, many of us have been taken aghast by your attitudes and that of your President. How, with all your riches, your country today is still the poorest in the World???? We know quite well that, corruption is rampant in Tanzania today and in my five years I have travelled all over the country and I have seen in my own eyes that some schools have classes being conducted under the sheds of mango trees, with students sitting on grass. Your Ministers ask openly for 10% commission on every purchase that their departments make. In fact, your Ministers are so corrupt that we have one lady Minister being nicknamed as Mrs 10%. A recent purchase of the Radar which is at your international airport from UK had its price quadrupled because your former Attorney General needed funds to support a member of the ruling party to become a President. All these repulsive stories are well known by your President, but he is unwilling and powerless to stop corruption in your country and not long ago he was quoted to have said that " ukitaka kula na wewe uliwe".
Now, under such horrible and terrible circumstances, where your country's resources are being stupidly drained down the gutter by few, what would you expect a good diplomat to do save to spit on you so that you can wake up, or would you expect him to take up arms on your behalf and fight for your rights?", the diplomat asked the Wagagagigikoko journalist.
The Wagagagigikoko journalist was so confused by the diplomat's statements that he decided to end the interview right there, by saying, "Thank you sir. I hope my countrymen have heard you"
While in Toronto, the Wagagagigikoko journalist also had the opportunity to interview Torontonian Tanzanians, most of whom regarded the spitting diplomat as a hero and wished that the whole of Tanzania was inundated in a sea of spit, so that fellow countrymen could wake up from the deep slumber that they are in right now!!!
Sources: Wagagagigikoko News Network (WANENE).
 
ENVOY TOSED OUT OF TANZANIA
·While Canadians are ashamed of the envoy, Torontonian Tanzanians hold him as their hero for the year 2009
·The whole of Tanzania should be inundated in spit
·Tanzanians should learn from this and be ashamed of their leaders!
Toronto, Canada.
A Wagagagigigkoko journalist accompanied Jean Touchatte – the Canadian envoy who spat on a traffic cop in Tanzania on Wednesday, from Dar Es Salaam to Toronto, Canada, via The Hague by KLM, and on the way had the opportunity to interview him – an opportunity that no other journalist in the country had ever had without being spat on – not even Jerry Muro of TBC.
“We have all learned with shock and dismay the news that you spat on a police cop in Dar Es Salaam. This was a horrible act to be done by a diplomat and must be condemned in all possible terms by all Canadians irrespective of the circumstances that led you to spit on that cop. What could be the reasons of your abominable act Mr Jean”?
“Hahahahahahhahahahaha!!!”, Jean laughed continuously, as if he was not concerned that he was expelled from Tanzania and that he might have lost his diplomatic job for ever.
“Thank you very much my friend for giving me the opportunity to explain myself – an opportunity that even your Police Head Office in Dar Es Salaam where I was held for few hours on Wednesday never offered to me. I have worked as a Personal Secretary to our High Commissioner in Dar Es Salaam for more than 5 years now. In these 5 years I have seen many Canadian companies coming to Tanzania to rip you guys off without you saying a thing”, Jean continued, and added further that, “We all know that Tanzania is one of the richest countries not only in Africa but in the whole world – richer than Canada. But, it is also the poorest country in the World. We, Canadians, came to Dar Es Salaam, not because we want to serve you better, but because we know that you are a rich country. In fact, before, the High Commission in Nairobi used to serve Tanzania also, but after we realized how rich your country was, we decided to come over to this beautiful country so that we can loot the riches easily. As you already know that, we Canadians have an affinity for gold and for natural resources”, lamented Jean.
“Now, coming to your question, many of us have been taken aghast by your attitudes and that of your President. How, with all your riches, your country today is still the poorest in the World???? We know quite well that, corruption is rampant in Tanzania today and in my five years I have travelled all over the country and I have seen in my own eyes that some schools have classes being conducted under the sheds of mango trees, with students sitting on grass. Your Ministers ask openly for 10% commission on every purchase that their departments make. In fact, your Ministers are so corrupt that we have one lady Minister being nicknamed as Mrs 10%. A recent purchase of the Radar which is at your international airport from UK had its price quadrupled because your former Attorney General needed funds to support a member of the ruling party to become a President. All these repulsive stories are well known by your President, but he is unwilling and powerless to stop corruption in your country and not long ago he was quoted to have said that “ ukitaka kula na wewe uliwe”.
Now, under such horrible and terrible circumstances, where your country’s resources are being stupidly drained down the gutter by few, what would you expect a good diplomat to do save to spit on you so that you can wake up, or would you expect him to take up arms on your behalf and fight for your rights?”, the diplomat asked the Wagagagigikoko journalist.
The Wagagagigikoko journalist was so confused by the diplomat’s statements that he decided to end the interview right there, by saying, “Thank you sir. I hope my countrymen have heard you”
While in Toronto, the Wagagagigikoko journalist also had the opportunity to interview Torontonian Tanzanians, most of whom regarded the spitting diplomat as a hero and wished that the whole of Tanzania was inundated in a sea of spit, so that fellow countrymen could wake up from the deep slumber that they are in right now!!!
Sources: Wagagagigikoko News Network (WANENE).
Mh!
 
Actually, I didn't know that Tz is in the spit pool, as the Canadian Diplomatic Envoy tries to advocate! ".......Your Ministers ask openly for 10% commission on every purchase that their departments make. In fact, your Ministers are so corrupt that we have one lady Minister being nicknamed as Mrs 10%......" Mr President are you aware of these awkward messages! "....A recent purchase of the Radar which is at your international airport from UK had its price quadrupled because your former Attorney General needed funds to support a member of the ruling party to become a President..." But integrity of Diplomatic ethics takes its course of action, the way of message delivery was unacceptable. He had good message to the gvt of Tz by acusing the regime that "All these repulsive stories are well known by your President, but he is unwilling and powerless to stop corruption in your country and not long ago he was quoted to have said that " ukitaka kula na wewe uliwe". Haya Watanzania mpo! I cant comment. Ni afisa wa Ubalozi huyo!Anadai Wabongo tu bwawa la mate! Wameanza Viongozi wetu yeye anafikisha ujumbe tu.Tusimlaumu.
 
But do you think it is appropriate for him (Membe) to say (if at all he said)what he said considering that he is our top diplomat? He condemned the whole country, Canadian government based on some allegedly unbecoming actions of what I think to be a junior (or maybe senior or mid-level) staff member of the Embassy. I think he should have addressed the actions of the person (if at all he had to) than drag and condemn the whole Canadian government.

My issue with Membe is the fact that he is commenting on mere allegations and in principle, hypotheticals.I can cut him some slack because the diplomatic angle complicates matters in such a way the police and judiciary cannot work in BAU mode, but still, MOFA can conclude one way or another, let the reporters use "alleged" MOFA must show leadership and stop this sitting on the fence.

Having cleared that, it is right for Membe to put this on Canada and not the individual, even though he did talk a lot about Canada being a good friend of Tanzania and all that just to put this in perspective.

The reason I justify Membe stems from the diplomatic nature of the offending individual.The geezer, in acting like a kindergatten brat, demonstrated that a person as unstable as he can infiltrate the hitherto scandal free Canadian High Commission in Tanzania.for the Canadians to let this one fall through the cracks is a scandal in itself. This is a diplomatic representative we are talking about, not a mere Canadian bussinesman or tourist, presumably he passed all the Canadian civil and foreign services tests and filters.
 
Back
Top Bottom