Forensic audit ifanyike kujua michango ya Chadema ya kidijital imetumika vipi. Haiwezekani tuchange kidijital alafu wawe na magumu.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Kila mtanzania mwenye kulitakia mema taifa lake alichanga kidijitali ili Chadema wawe vizuri.

Sasa mbona wanalia kuwa wana magumu kiasi cha kutamani ruzuku kupitia mgongo wa Mdee na wenzake?
 
Yaani unateseka ya Nini? Si niuulize wanazipiga pesa za miradi kwenda mbele.Hadi za kuwekezea pini Kwa masikio ya Ngombe!!
Watoto mikopo ya wanafunzi nao wamepiga kwani hao ni Chadema??!!
Kalaghabaho!!
 
Kila mtanzania mwenye kulitakia mema taifa lake alichanga kidijitali ili Chadema wawe vizuri.

Sasa mbona wanalia kuwa wana magumu kiasi cha kutamani ruzuku kupitia mgongo wa Mdee na wenzake?
Wewee! Angaika na chama chako muflisi na chakavu, mambo ya CDM tuachie sisi wadau wake tuangaike nayo. Kama ufedhuli, ukatili, wizi na hujuma kubwa mliifanya na kufanikiwa katika uchafuzi wa 2019 na 2020, lakini bado kuongoza nchi na kutatua matatizo ya wananchi kumewashinda.

Kamuulize Kinana kwa nini amekwenda Courtyard Hotel kuonana na makamanda wa CDM pekee na kujifungia ndani katika kikao cha siri. Tambua bila ya kuishirikisha "think tank" ya CDM nchi hii haiendi popote pale.

Samia anajua, Jakaya anatambua ukweli huo, ni wewe na masalia ya JPM ndiyo pekee mpo bado gizani. Kuwa chawa kama kunakulipa basi endelea kuwa chawa, vinginevyo unajichora tu mbele ya watu huku shida zimekuandama mpaka katika makalio yako.
 
Kila mtanzania mwenye kulitakia mema taifa lake alichanga kidijitali ili Chadema wawe vizuri.

Sasa mbona wanalia kuwa wana magumu kiasi cha kutamani ruzuku kupitia mgongo wa Mdee na wenzake?
Niliposoma heading nikadhani una hoja , na nilikuja na hesabu kamili kukuonyesha kitita kilichopatikana hadi leo saa 2 kamili usku ( kumbuka kwamba mpaka muda huu michango inaendelea kumiminika ) , lakini baada ya kusoma content nimekupuuza .
 
Kila mtanzania mwenye kulitakia mema taifa lake alichanga kidijitali ili Chadema wawe vizuri.

Sasa mbona wanalia kuwa wana magumu kiasi cha kutamani ruzuku kupitia mgongo wa Mdee na wenzake?
ACHA UONGO KUWA NA SURA YA AIBU
 
Back
Top Bottom