Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idugunde chawa wa CCM pesa za chadema zinakuhusu nini?Kila mtanzania mwenye kulitakia mema taifa lake alichanga kidijitali ili Chadema wawe vizuri.
Sasa mbona wanalia kuwa wana magumu kiasi cha kutamani ruzuku kupitia mgongo wa Mdee na wenzake?
Pole!Kila mtanzania mwenye kulitakia mema taifa lake alichanga kidijitali ili Chadema wawe vizuri.
Sasa mbona wanalia kuwa wana magumu kiasi cha kutamani ruzuku kupitia mgongo wa Mdee na wenzake?
Ni maridhiano, ilikuwa auliwe na makomado 3 wa Mbowe.Nje ya mada