Forensically speaking: Risasi kupigwa juu!

Hivi tuna wataalamu wa ballistics kweli?
hilo nalo linahitaji wataalam?
hata kwenye movie hamuoni?
risasi inayopigwa juu kuna ushikaji wake Wa bunduki.
na risasi ya kumlenga MTU au kitu pia kuna ushikaji wake Wa bunduki.
RISASI SIO BOMU.
risasi ikienda juu inapotea.
 
Maelezo yale yalinifanya nimdharau sana yule bwana na kuona ni zero brain. Mtu mwenye akili, hata akiamua kudanganya, angalao angezungumza kwa namna ambayo itaonesha uwezekano wa hicho anachokisema. Lakini maelezo yale hata mtu mjinga kabisa hawezi kuyatoa hata kwa watu wajinga.
 
Does the state believe its governing ignorant or stupid folks?
Not only believing, that is the fact!!
95% Of Tanzanians are semi illiterates, poor with no exposure.
90% Of our graduates have no exposure, questionable source of incomes
90% Of the police and defense forces, corrupt, uneducated, have no exposure

In edition to that the opposition lacks resources, intelligence, propaganda, flow of information, logistics etc
 
Mfalme Nebuchadnezer akazidisha dharau,dhihaka na makufuru mbele za Mungu, ndipo Moyo wake ukajawa na kiburi sana, akawaangamiza wananchi wake ambao hawakupenda kumwabudu, wakawawa na kupotea, ndipo Bwana akasikia kilio cha watu wake;akampiga Nebuchandezer upofu,akili yake ikapoteza uwezo wa kufanya maamuzi yenye busara, akaenda kuishi porini kwa miaka 7 akila nyasi na mizizi; akaota nywele kama Mnyama wa porini hadi alipotubu na kumrudia Mungu wake, ndipo akarejeshewa akili na ufahamu wake wa awali.
Pengine Nebuchadnezer bado huu ni mwaka wake wa 3, bado miaka 4 ya kurudi katika hali yake ya awali. Tuendelee kuomba na kuomboleza, tukivaa magunia na kujipaka majivu ili Bwana wa majeshi aweze kutusikia na kujibu maombi yetu.

Eyee Bwana Yesu sikia kilio cha wanafunzi wako;ukawatoe katika mkono wa Nebuchadnezer.
 
I have tried to run a simulation with the little forensic science I know of bullet being shot in the air( thrust, speed, velocity and resistance to gravity) and upon its thrust upwards declining, it descends almost free fall (gravity of course)and then penetrates metal frame of the bus and blows someone’s head killing them.... what kind of Gun and bullet were these?

Logic thinking imekuwa disrupted for last 3-4 days kuuliza such question.... eti risasi ilipigwa juu...

Je forensics za crime scene, hilo basi na hata kuona bullet hole na trajectory zilifanywa? kisha Kamanda Mambosasa akatoa such "inconclusive" statement kuwa Akwilina ni mhanga wa risasi iliyopigwa juu na ambapo sasa kauli yake yenye muonekano wa kukosa umakini wa tathmini na uchunguzi wa Kipolisi inaturudisha kufanya umakini wa tukio na maelezo ya Kamanda Mambosasa?

Then why askari 6 wamewekwa ndani?

Tuliuliza vitu logic tunaitwa wachochezi...
Juzi alibadili statement! Alisema waandamanaji wale waliokamatwa 40 yawezekana mmoja alikuwa na silaha na ndiye aliyepiga rusasi ikamuua Akwilina.
 
Mfumo wa uchaguzi na mfumo wa kudhibiti maandamo /vurugu inatakiwa ifumuliwe. Viongozi wa mifumo hii nao wawajibike au wawajibishwe pamoja na kuwachukulia hatua wale waliopiga risasi. Sio kusema tu wajichunguze hii haitoshi -hati kosa nitende mie halafu nijichunguze, ufala wa wapi huo? Tanzania?
 
Kuna maelezo mengine alikuwa anatoa ya bodaboda aliyepigwa risasi na askari...ati kuwa alipiga risasi chini kwenye lami ikalipuka ikanyanyuka tena na kuingia mwilini kwa bodaboda nzima nzima. Mimi sielewi haya mambo vema, ni jinsi gani Risasi ikishalipuka inamuingiaje mtu tena!
Akunakitu kama icho
 
Hahahaa nimecheka,huo utetezi.wa askari hauna ushirikiano
 
I have tried to run a simulation with the little forensic science I know of bullet being shot in the air( thrust, speed, velocity and resistance to gravity) and upon its thrust upwards declining, it descends almost free fall (gravity of course)and then penetrates metal frame of the bus and blows someone’s head killing them.... what kind of Gun and bullet were these?

Logic thinking imekuwa disrupted for last 3-4 days kuuliza such question.... eti risasi ilipigwa juu...

Je forensics za crime scene, hilo basi na hata kuona bullet hole na trajectory zilifanywa? kisha Kamanda Mambosasa akatoa such "inconclusive" statement kuwa Akwilina ni mhanga wa risasi iliyopigwa juu na ambapo sasa kauli yake yenye muonekano wa kukosa umakini wa tathmini na uchunguzi wa Kipolisi inaturudisha kufanya umakini wa tukio na maelezo ya Kamanda Mambosasa?

Then why askari 6 wamewekwa ndani?

Tuliuliza vitu logic tunaitwa wachochezi...
Mkuu hizo logic sijui logic gates peleka kwenye electronics physics serikali ya awamu hii haitaki logic wala logic gates
 
Mfumo wa uchaguzi na mfumo wa kudhibiti maandamo /vurugu inatakiwa ifumuliwe. Viongozi wa mifumo hii nao wawajibike au wawajibishwe pamoja na kuwachukulia hatua wale waliopiga risasi. Sio kusema tu wajichunguze hii haitoshi -hati kosa nitende mie halafu nijichunguze, ufala wa wapi huo? Tanzania?
Ndugu, Hakuna Shida kwenye huo mfumo kama Utaratibu na Haki za kikatiba zingefuatwa; Pale Utaratibu/Sheria zilikiukwa NEC na Kwa Askari pia; Kuna Mifumo ya Kufumuliwa ile haina Shida kabisa kama watu wote wangefuata Utaratibu.
 
Jeshi la polisi hata lenyewe haliko huru,si IGP wala Mwigulu anaesimamia jeshi hilo. Ukitaka kuamini hilo angalia jinsi Mambosasa alivyokurupuka na statement baada ya tukio siku ya kwanza na alivyobadili statement yake siku ya pili.
Ukiwa unatumika vibaya hata uwe profesa utaumbuka tu.
 
Back
Top Bottom