mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
hilo nalo linahitaji wataalam?Hivi tuna wataalamu wa ballistics kweli?
Not only believing, that is the fact!!Does the state believe its governing ignorant or stupid folks?
Hivi kitu kidogo kama hiki kinahitaji wataalam wa ballastics au just a simple logic? Unaweza kupiga risasi angani ikatua na kwenda kumuua mtu kweli??Hivi tuna wataalamu wa ballistics kweli?
Juzi alibadili statement! Alisema waandamanaji wale waliokamatwa 40 yawezekana mmoja alikuwa na silaha na ndiye aliyepiga rusasi ikamuua Akwilina.I have tried to run a simulation with the little forensic science I know of bullet being shot in the air( thrust, speed, velocity and resistance to gravity) and upon its thrust upwards declining, it descends almost free fall (gravity of course)and then penetrates metal frame of the bus and blows someone’s head killing them.... what kind of Gun and bullet were these?
Logic thinking imekuwa disrupted for last 3-4 days kuuliza such question.... eti risasi ilipigwa juu...
Je forensics za crime scene, hilo basi na hata kuona bullet hole na trajectory zilifanywa? kisha Kamanda Mambosasa akatoa such "inconclusive" statement kuwa Akwilina ni mhanga wa risasi iliyopigwa juu na ambapo sasa kauli yake yenye muonekano wa kukosa umakini wa tathmini na uchunguzi wa Kipolisi inaturudisha kufanya umakini wa tukio na maelezo ya Kamanda Mambosasa?
Then why askari 6 wamewekwa ndani?
Tuliuliza vitu logic tunaitwa wachochezi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] this guy bana 'things nownowBut we have yet to use them here by our police force, therefore Mambosasa's novel law of trajectory motion is not applicable here; it is not in practical use!
hahaha hatariii sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akunakitu kama ichoKuna maelezo mengine alikuwa anatoa ya bodaboda aliyepigwa risasi na askari...ati kuwa alipiga risasi chini kwenye lami ikalipuka ikanyanyuka tena na kuingia mwilini kwa bodaboda nzima nzima. Mimi sielewi haya mambo vema, ni jinsi gani Risasi ikishalipuka inamuingiaje mtu tena!
Hahahaa nimecheka,huo utetezi.wa askari hauna ushirikianoKuna maelezo mengine alikuwa anatoa ya bodaboda aliyepigwa risasi na askari...ati kuwa alipiga risasi chini kwenye lami ikalipuka ikanyanyuka tena na kuingia mwilini kwa bodaboda nzima nzima. Mimi sielewi haya mambo vema, ni jinsi gani Risasi ikishalipuka inamuingiaje mtu tena!
Mkuu hizo logic sijui logic gates peleka kwenye electronics physics serikali ya awamu hii haitaki logic wala logic gatesI have tried to run a simulation with the little forensic science I know of bullet being shot in the air( thrust, speed, velocity and resistance to gravity) and upon its thrust upwards declining, it descends almost free fall (gravity of course)and then penetrates metal frame of the bus and blows someone’s head killing them.... what kind of Gun and bullet were these?
Logic thinking imekuwa disrupted for last 3-4 days kuuliza such question.... eti risasi ilipigwa juu...
Je forensics za crime scene, hilo basi na hata kuona bullet hole na trajectory zilifanywa? kisha Kamanda Mambosasa akatoa such "inconclusive" statement kuwa Akwilina ni mhanga wa risasi iliyopigwa juu na ambapo sasa kauli yake yenye muonekano wa kukosa umakini wa tathmini na uchunguzi wa Kipolisi inaturudisha kufanya umakini wa tukio na maelezo ya Kamanda Mambosasa?
Then why askari 6 wamewekwa ndani?
Tuliuliza vitu logic tunaitwa wachochezi...
Ndugu, Hakuna Shida kwenye huo mfumo kama Utaratibu na Haki za kikatiba zingefuatwa; Pale Utaratibu/Sheria zilikiukwa NEC na Kwa Askari pia; Kuna Mifumo ya Kufumuliwa ile haina Shida kabisa kama watu wote wangefuata Utaratibu.Mfumo wa uchaguzi na mfumo wa kudhibiti maandamo /vurugu inatakiwa ifumuliwe. Viongozi wa mifumo hii nao wawajibike au wawajibishwe pamoja na kuwachukulia hatua wale waliopiga risasi. Sio kusema tu wajichunguze hii haitoshi -hati kosa nitende mie halafu nijichunguze, ufala wa wapi huo? Tanzania?
The bullet was very intelligent not to hit the intended TargetPolisi walilenga na kudhamiria kuua. Huwezi kufanya kulenga point blank and then called it a stray bullet.