Forensically speaking: Risasi kupigwa juu!

SMART BULLET [emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433]RISASI JANJA [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Do you know that these are the people who score the least if not zero at school and that what they explain is totally not existing in science or even have logic???
 
Wewe hauna tofauti na mambosasa,unapoteza muda kwa kitu ambacho unatakiwa utumie utashi tu wa kawaida kama binadamu,samahani kama nitakuwa nimekukera
 
Ndugu, Hakuna Shida kwenye huo mfumo kama Utaratibu na Haki za kikatiba zingefuatwa; Pale Utaratibu/Sheria zilikiukwa NEC na Kwa Askari pia; Kuna Mifumo ya Kufumuliwa ile haina Shida kabisa kama watu wote wangefuata Utaratibu.
Mfumo unaweza kuwa ni yale yalio andikwa au yale tuyatendayo na tukaendelea kuyatenda kwa muda mrefu na baadhi ya watu wakaamini ndo mambo yanavyo takiwa kuwa. Haya yakileta mtafaruku yanatakiwa yashughulikiwe mara moja. Tumeona tabia ya NEC kutufikisha walipo tufikisha Kinondoni na tumeona au kusikia jinsi polisi walivyo handle hao waandamanaji mpaka yakatokea yaliyo tokea. Na hii sio mara ya kwanza-Morogoro, Iringa etc. Kwangu mimi mfumo unaotumika una matatizo-aliyechelewesha kutoa vibali vya utambulisho atakuambia yuko ndani ya sheria, polisi "watadeal" na wapiga risasi, lakini unajiuliza walipitia hatua gani hadi kufikia kutumia risasi, risasi zile zililengwa wapi (ingawa watu wanaongelea matokeo ya risasi moja ) walio umia kwa risasi ni wengi tu. Hivyo kamanda anaposema zimepigwa hewani unajiuliza walioumia kwa risasi wote walikuwa hewani ni dhahiri anadanganya. Nani wakuwajibishwa? Kwangu mimi tuna mifumo mibovu na isipofumuliwa huko mbele itatuletea majamnga makubwa zaidi.
 
Huyo jamaa ni comedian. kuna askari walipiga watu pale ukonga. Huyo mambo comedy sasa alijitokeza nakudai sio jeshi la polis ati ni wahuni. Mambo yakapozwa na mkuu wa wilaya
 
Jeshi la polisi kuongozwa na watu wasio na uelewa na hekima kama akina mambosasa halafu tutegemee kupata haki ni ndoto za mchana
 
Ha ha ha ha aha nmeipenda hii
It states that "when the bullet is shoot in the air the probability of changing its direction its high if there is moving vehicle around the area"
Hahahahhahaaaaaa

Political laws hazihitaji verification, ni kitendo cha kutamka mambo yanatiki
 
Ha ha ha ha aha nmeipenda hii
It states that "when the bullet is shoot in the air the probability of changing its direction its high if there is moving vehicle around the area"

Nadhani hiyo risasi ilikutana na ukuta wa kimaruhani usioonekana ikagonga na kurudi maana maruhani hata kura yanapiga.
 
Polisi hawakumlenga Akwilna.....walilenga viongozi wa maandamano na waandamanaji wenyewe.
Wamekamatwa kwa kukosa shabaha
 
Hii labda itakuwa risasi ya kwenye movie ya the wanted ya angelina jolie
 
Juzi alibadili statement! Alisema waandamanaji wale waliokamatwa 40 yawezekana mmoja alikuwa na silaha na ndiye aliyepiga rusasi ikamuua Akwilina.
Na ukisoma gazeti la Mwananchi la j3 wameandika kwamba alipigwa na KITU CHENYE NCHA KALI. Yan inaonekna alishindwa kusema ni risasi. Hahahahaha. Hata kisu kina ncha kali.
 
Hili swala la risasi ilipigwa hewan huitaji hata elimu ya darasa la saba kuelewa hapa acha tupone kwa imani kama wana wa israel acha tubadilishe maji yawe divai tunywe tulewe basi ndo kilichobaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…