Forever living products

Forever living products

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Wakuuu wa Nchi naomba kujulishwa please kama Kuna mtu ambaye ameshawahi kutumia hizi products za Forever living products .

Kama zinafanya kazi vizuri maana kesho Nina mpango wa kwenda kununua hizo virutubishoo kwa ajili ya diabetes type 2.

Naombeni please msaada. Unaweza ku inbox me please.

I hope to hear from you guys.
 
Unaenda kujiregist kwa forever living , utakuwa member wao unapozidi kuwatafuta wateja ndipo forever inakulipa zaidi. So be careful na huduma zao japo watu wanahusisha na IMANI flan
 
Back
Top Bottom