Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Wakuuu wa Nchi naomba kujulishwa please kama Kuna mtu ambaye ameshawahi kutumia hizi products za Forever living products .
Kama zinafanya kazi vizuri maana kesho Nina mpango wa kwenda kununua hizo virutubishoo kwa ajili ya diabetes type 2.
Naombeni please msaada. Unaweza ku inbox me please.
I hope to hear from you guys.
Kama zinafanya kazi vizuri maana kesho Nina mpango wa kwenda kununua hizo virutubishoo kwa ajili ya diabetes type 2.
Naombeni please msaada. Unaweza ku inbox me please.
I hope to hear from you guys.