Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wakuu naomben iyo forex for dummies na naked forex mwenye nayo aipandishe APA tupakue aseh naomba ukiweka uniatag pls
 
Leverage ni double-edged sword mzee,hapo umetazama upande mmoja lakini ikitokea trade imekuendea vibaya hasara inakua maradufu pia.
 
Ontario tafadhali Kama unaweza kutupia hivyo vitabu viwili humu ndani itakuwa vyema, iwapo tu unavyo kimtandao Na Nafasi yako inaruhusu. Asante.
Vitabu vipo post no. 441 na 663[/QUOTE]
on point
 
Bro nimekuwa nafwatilia huu uzi kwa makini sana ningependa niwe miongoni mwa hyo first batch ili nipate nafasi ya kujifunza zaidi na kuielewa forex .
 
Kiongozi ONTARIO plz usiniache kwenye iyo namba ya 150.
 
NA MIE NATAKA MKUU,USINIKOSEEEE!DAH NIMEGUNDUA RAIA TUNA UCHU SANA NA PESA AISEE
 
NA MIE NATAKA MKUU,USINIKOSEEEE!DAH NIMEGUNDUA RAIA TUNA UCHU SANA NA PESA AISEE
 

Ontario Mkuu niko na kampun ya kuandaa Events,Naomba Nitumie fursa hii kuomba kazi ya kuandaa hyo Event,Kama hutojali ni PM mail nikutumie Company Profile
 
Reactions: MC7
Ontario asante sana. Nasubiri hiyo opportunity ya kujifunza. Hata kama isingekuwa free I would be willing to pay. Again thanks. Waiting for more information.
 
Niweke kwenye Orodha mkuu
 
That is great mkuu Ontario central Benki zitafungwa zote kwa hii kitu .
 
Yani nasoma wee nakua kama naelewa vile...kuna muda nahisi kama mambo ya mkeka flani hv...ila ngoja
 
Ina maana hii kitu hata wafanyakazi wa mabenki hawajui huu mchezo kweli? very interesting.
 
FOREX IS HALAL IF
Forex is Halal if you are not gambling and have your end goals clearly distinguished.
1- As a Forex trader you need to have a reason to take that action (sell or buy)
2- Not gamble on the trend direction but analyze the market
3- Not trade for the sake of excitement but trade for the potential income and to make a living
4- Not to approach it as a game but as a job
5- Have a mindset to win or to protect your equity rather than telling yourself “if I win I win, if not next time”
6- You learn from your losses and move on with the decision taken by yourself rather than blaming the market or blaming the situation
7- You have a SWAP free account or trade avoiding SWAP
FOREX IS HALAL OR HARAM?
There is a thin line between trading and gambling, we all must admit it. But the good news is that you can avoid being a gambler.
1- Only take trades with a high probability of making profit based on your analysis
2- Exiting a trade is as just important as entering one, have a trade plan
3- Define your stop levels
4- Choose the right entry size, if you are risking all to double it its is called gambling
5- Know what you are trading
6- Understand the time frames, do not be addicted it is a sign of gambling
7- Back test your strategy and aim to develop it
8- Constantly review your historical performance and try to understand why you made loss and profit
9- Be disciplined, trading is a job not a game
10- Focus
11- Trade with an Islamic account providing Forex Broker
Note: The above is a part of my 1 week research with 3 Islamic scholars from Azerbaijan, 1 from Irag, 1 from UAE, 1 from Indonesia and 1 from Egypt. Since this subject is debatable please feel free to comment your thoughts below in the comments section
Hii ni kwa wale ndugu zangu katika iman yaan waislam.
Mkuu ONTARIO nimekutana na kitu Swap-free Forex islamic account.
Kuna tofauti gani kati ya ma broker wengine na hawa wa Swap free Forex islamic acount
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…