Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ni mtazamo tu, hivi darasa lazima liwe na idadi kubwa hivyo, maana cost itakuwa kubwa sana.

Kwanini lisiwe darasa la watu wachache tu let's say 25 people, then darasa linakuwa recorded , halafu unadistribute hiyo copy may be online or whatever ways.
 
Msaada wa kuunganishwa ktk group [HASHTAG]#0754851611[/HASHTAG]
Na fursa ya kuwa kati ya hao watu 300 wa kwanza.
 
Nazidi kusisitiza Forex sio kitu rahisi na wala si utajiri mwepesi. Ungekuwa utajiri mwepesi hata wale wanaotoa mafunzo ya Forex wangeyatumia kujijengea utajiri mkubwa, badala yake wamekuwa ni walimu wazuri wa kukupa skills ambazo nyingi hazifanyi kazi kwa ujira wa kununua vitabu vyao au kugharamia mafunzo yao. Forex ina faida lakini tread softly.
 
Hawa wanaotudiscourage sijui wana nia gani...
Yote ya yote tukumbuke kuwa hata ukifanya biashara ya mahindi kuna risk pia... Tena sio risk ya hasara ndogo bali hata kupoteza mtaji wote
Cha msingi ni ku stick on plan
Inshaallah namuombea ONTARIO mambo yaende sawaa
 
naunga mkono hoja
 
Naombeni kwa anaejua anijuze link ya kufungua demo account nijifunzie huko mazoezi mdogo mdogo
 
Mkuu ONTARIO nina ombi moja

Ingekuwa vizuri kama ungeruhusu utaratibu wa Livestreaming ya hiyo training ili hata ambao tutakosa nafasi kati ya hao watu 150 tuweze kufaidika na darasa lako

Na hiyo livestreaming anaweza kufanya mtu yoyote aliepata bahati ya kuchaguliwa kujiunga na darasa lako kuhusu hela ya bando sisi wengine tutakuwa tayar kuchangia..live streaming inaweza kufanyika kupitia platform mbali mbali kama instagram , youtube , facebook au iwe recorded kisha members wapewe copy either kwa kununua au vyovyote utakavoona inafaa
 
Wazo zuri. Hasa kutengeneza CDs na kuziuza. Tutazinunua ONTARIO
 
Hiyo sentensi yako ya mwisho na avator yako naona vina uhusiano kabisa! Wala sijashangaa!!
 
Wazo zuri. Hasa kutengeneza CDs na kuziuza. Tutazinunua ONTARIO
Naunga mkono hoja

Class session atakazokuwa nazo ONTARIO , zirekodiwe kitaalam, ziwe edited, iwe ni package yenye somo lililokamili kwa mtu kuweza kujifunza, na CD hizo ziuzwe (ili kurudisha cost zitazotumika kuzalisha hizi CD) kwa utaratibu utakao uweka ontario na team yake.

Nina hakiki wengi watanufaika na hizi CD mahala popote atakapokuwa.
 

Mbona hujajibu message bosi nimekutumia. Weka na namba ya simu.. coz ushaamua kusaidia watanzania wnye uhitaji so malizia kutupatia namba ya simu ili tukucheki vzr
 
Inaweza isiwe msaada kamili kwako mkuu google soma comment za watu mbalimbali hilo darasa liwe final utaelewa zaidi ndio ata mleta Uzi alipo.uomba jamaa ake south Africa amfundishe hakumfundisha alimpa vitabu asome kwanza kufu disha iwe mwisho.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…